Nani wa kunisaidia!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani wa kunisaidia!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by NINAHASIRA, Nov 10, 2010.

 1. N

  NINAHASIRA Member

  #1
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa na tabia ya kufanya punyeto na ni kwa muda mrefu kiasi kwamba hata nahisi kupungukiwa na nguvu za kiume!! Hivi kuna tiba gani mana ninapokutana na mwanamke kileleni ni dakika 2 tu. Lakini goli hata nne tano zinafika sijui mwenzenu nifanyeje naomba msaada mana tabia hii yanikera
   
 2. F

  Ferds JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  We endelea tu mpaka dhakar ikatike kabisa
   
 3. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  waone masai wana dawa
   
 4. Zneba

  Zneba Senior Member

  #4
  Nov 10, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahaha we ferds mbona kumwambia mwenzio hivyo,jamani msaidie
   
 5. Zneba

  Zneba Senior Member

  #5
  Nov 10, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yani nikisoma hapa sina mbavu jamani mwenzenu
   
 6. RR

  RR JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Nenda hospitali...mwombe daktari akukate mikono...
   
 7. W

  WONDERWOMAN Member

  #7
  Nov 10, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  DU!!!!?:thinking:
   
 8. N

  NINAHASIRA Member

  #8
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hivi mnataka kweli kunisaidia au! mbona najuta hata kuomba huo msaada!!
   
 9. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #9
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hey mi naona borea umtafute demu
  au kama tayari uane demu mwambie tatizo hilo....
  hilo si tatizo kubwa sana ni dogo tu..
  nani demu ambaye anaweza kukuaidia hilo...
  mweleze ni jinsi gani unataka kufunga magoli mengi kwa mpigo...
  kwa kweli nani kama demu anaakili kama zangu atakwambia
  ingiza magoli 10.... hahaha (jokin)
  lakini kweli hou si ugojwa ila
  unakuwa horny more than normal ...
  which is good thing....
  kama ingekuwa kinyume cha hapo..(ndo ningesema mwone daktari)
   
 10. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #10
  Nov 10, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,105
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  :sad:dah..polee sanaaa,hilo ni tatizo la phychology sanaaa,cha muhimu jaribu kuto penda kuangaliaa pichaa za porn sanaa,hakikisha hukaii muda mwingi lonely maana utawaza kujichuaa na fanyaa mazoezi itakusaidia mwili kuchokaa na kutowaza habari za kuji duu mwenyewe[kujichua].kuhusu kukojoaa dakika mbili...jaribu kubadili mikao mara nyingi palee unapoo ona lina kujaaa,usi constrate sanaa kunako k..fanyaa mazoezi sanaaa huongeza mda wa kuchelewa kufikaa kileleni,au tumia dawaa za asili mfano asaliii ya nyuki wa dogo wawili akikisha kilaa siku unalambaa vijiko sitaaa,ukiwa huna shululi kunywa asubui 2,mchana 2, jioni 2 mpakaa chupa ndogo ya konyagi iishe,au tumia tende zipo super market,una lowekaa asubui tende kamaa tatu au nne,kishaa unaziacha mpakaa zinyeyuke jioni unakunywaa,unaweza kufanya hivyo mpakaa uwone matokeo mazuri,kwaa ushauri zaidi tuwasiliane
   
 11. N

  NINAHASIRA Member

  #11
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  NImekupata B,REAL kidogo unanipa moyo na ushauri wako wa busara kama wote tungekuwa hivi basi jamii ingebadilika kwa kuwa na watu ambao wanajali na kuwa na uchungu na watu!!
   
 12. N

  Ngo JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2010
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Acha kuangalia Porn move kama huna umpendaye hapo, kuwa busy, usipata mda wa kuanza kufikilia kwenda kufanya hilo tendo. Misuli yako ya huko mbele inalegea kwa kufanya hilo tendo. Maaana unalazimisha kumaliza ndani ya dakika chache hata kama nyeti haijasimama katika hali inayotakiwa.

  Kwenye goli la 2, 3 au 4 huwa unachukua mda gani isijekuwa huwa unakamia sana kile cha kwanza na kukufanya umalize haraka. Jaribu ku-relax na kwenda polepole ukiachia pumzi itokee mdomoni na si puani kuifanya mishipa yako ya mwili ku-realx pia. Mwanadae mwenzi wako kiasi kwamba unapoenda kufanya hilo tendo basi asichukue mda mrefu kuvika kileleni.
   
 13. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #13
  Nov 10, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Demu c lazima kwanza wana magonjwa.we endeleza kujipa raha.
   
 14. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Mkuu hilo ni tatizo linalowakabili vijana wengi katika jamii zetu.Mara nyingi nyeto ina madhara psychologically na physically.Psychologically ni pale unapokuwa huna hamu ya msichana au kuwa na tabia ya kuona msichana si kitu kwako sababu akili inakuambia kuwa alichonacho unakipata bila usumbufu,pia tendo hilo linaharibu hata mawazo yako na hata ukimuona binti mrembo kakatiza mbele yako utakimbilia sehemu kwenda kulipia.Physically ni mbaya zaidi kwa sababu tendo hilo ukilifanya mara kwa mara linamaliza body fluids hasa kwenye magoti na joints nyinginezo.Itafikia wakati utashindwa hata kutembea kwa sababu ya maumivu kama ukiendelea na tabia hiyo.Ukitaka kuamini jaribu kukimbia au kufanya exercise yoyote inayohusisha movement ya joints zako kisha sikilizia feeling kwenye joints hizo.Lakini vile vile nyeto sio mbaya kama utaweza kujicontrol na kufanya atleast once in two weeks,utakuwa healthy na tamaa ya ngono hutakuwa nayo lakini kama ukitaka kupiga bao tatu kwa siku na baada ya siku mbili unarudia basi mjomba itakuwa imekula kwako na usubiri maumivu tu maana kuna jamaa alifungwa jela miezi tisa akawa kila siku yeye na nyeto,nyeto na yeye alipofikisha mwezi wa nane akawa hawezi kutembea na madaktari walipompima wakakuta magoti yamekufa hivyo ili kumwokoa ikabidi wamkate miguu juu ya magoti.Sasa uko tayari kwa hilo ndugu?Mungu akubariki uachane na tabia hiyo.
   
 15. N

  NINAHASIRA Member

  #15
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante sana paka mweusi umenishauri kitu kizuri sana! maana some times joint kweli zinakuwa zimechoka! halafu mgongo some time unauma vilevile this is true man!!
   
Loading...