Nani wa kulaumiwa kwemye matukio machafu ya kisiasa?

Wateule

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
390
368
Huyo mnayesema "anaangushwa" ndio anayewatuma kutumia mbinu chafu za kisiasa. Na ule unaitwa "mgogoro wa CUF." Kama CUF na wao wangeweka ving'amuzi mapema ili kunasa na kuweka ushahidi hadharani, tungeona na kusikia mengi. Kwa kuwa hawa wakuu wa wilaya na wengine wana maagizo "kutoka juu", hawafanywi lolote pindi wakiharibu mambo. Sanasana mtasikia mkuu na yeye akiropoka "wewe piga kazi tu", kwani Bashite ilikuwa aje pamoja na kwamba video za CCTV zilimnasa LIVE akifanya uvamizi usiku kwenye ofisi za watu? Mpaka leo mado yupo madarakani anadunda na kuendeleza kibri.

CCM na kiongozi wao wapo tayari kufanya lolote ili mambo yao yaende, na hata mipango ikiharibika kama suala la Bashite, na sasa huyu Mnyeti, wao hawajali, maana polisi na mahakama pia wamedhibiti wao. Nafikiri wanapopewa maagizo ya kufanya uharamia kama huu wa Arusha na mengineyo, huwa wanapewa jukumu tu (kwa mfano, kuhakikisha madiwani wa CHADEMA wana hamia CCM au kuvuruga umoja na mshikamano wa wana CUF, nk), bila masharti ya utekelezaji wa jukumu hilo. Matokeo yake, kila mtu anakuja na mikakati yake ya kutimiza malengo kusudiwa, iwe uvamizi sawaaa!, iwe rushwa, sawaaa!, iwe mauaji, pia sawaaa tu!!
 
OMBI:

Tafadhali Admins, acheni uzi ujitegemee ili tuweze kujadili muendelezo wa matukio machafu ya kisiasa kwa kujikita kwenye mizizi, na sio matawi ya matukio hayo.
Utasikia tumuunge mkono mtukufu wetu kwa kazi anayofanya. chema chajiuza kibaya kinajitembeza
 
Hiyo ni kama vile mtoto wa nyani anakula mahindi shambani alafu wewe unapeleka malalamiko kwa mama nyani wkt ndo kamtuma mtoto.Rejea,"Wako wapi watu wako.......Ninyi ni wapumbavu kabisa"
 
Hawa vijana akina nasari na Lema nimewavulia kofia yaani ni watoto wa mjini.wamemuacha sijonze aingie kichwakichwa arusha uwanjani mbele ya wanajeshi na kadamnasi ya watu halafu wamemuumbua mchana kweupe yaani najaribu kufikiri hasira yake si zitatumwa nissan 10 na magazine za smg 100
 
Alafu Nasari na Lema vifua bhana!!kuvumilia na mzigo kwa kipindi chote hicho pamoja na mbwembwe zote za akina polepole,ilihitaji moyo wa uvumilivu sana kusubiri muda mwafaka.Heko Nasari,Heko Lema.
 
Hawa vijana akina nasari na Lema nimewavulia kofia yaani ni watoto wa mjini.wamemuacha sijonze aingie kichwakichwa arusha uwanjani mbele ya wanajeshi na kadamnasi ya watu halafu wamemuumbua mchana kweupe yaani najaribu kufikiri hasira yake si zitatumwa nissan 10 na magazine za smg 100
aibu iliyomkumba ni ya mwaka hahaha wapumbavu kabisa
 
Back
Top Bottom