Nani umewahi kutumia unga wa ndizi kitarasa?

EMMANUEL JASIRI

Senior Member
Feb 2, 2015
127
62
Habari wadau wa jamiiforums

Habari zenu,

Naomba kujuzwa

Kama umewahi kutumia unga wa ndizi kitarasa.

Napenda kuomba kujua ulikusaidiaje kiafya?

Au una uonaje?

Tafadhali wadau nisaidieni.
 
..unga wa ndizi za kitarasa, unapatikana baada ya ndizi kitarasa kumenywa, kukaushwa (makashii) na baadae kusagwa / kutwangwa ili kupatikana unga huo.

Kimsingi, pamoja na kwamba una ladha flani amazingly, lakini kwa upande wa afya sio mzuri sana kwani hauna wanga wa kutosha.

Mara nyingi unga huu uliandaliwa wakati wa msimu ambao mazao ya nafaka (mahindi / nafaka) mavuno yake yalikuwa kidogo.

Wakati mwingine, makashii hayo huchanganywa na nafaka ili kuuongezea ladha unga wa Kawaida.
 
Back
Top Bottom