the-true-wash
Senior Member
- Oct 14, 2012
- 142
- 106
Wakaaji jamvini, propaganda zooote hizi za CCM na CHEDEMA lakini ukweli/facts ni kwamba CCM itashinda tu 2015 hata kama watanzania wooote watachagua CHADEMA. Lakini hivi mpaka sasa wadau mnajua ataegombea kiti hicho kupitia CCM? Nauliza kwa sababu baada ya Mkapa tulijua mapemaaaa kuwa Kikwete ndo atayefatia