Nani rais mwaka 2015

the-true-wash

Senior Member
Oct 14, 2012
142
106
Wakaaji jamvini, propaganda zooote hizi za CCM na CHEDEMA lakini ukweli/facts ni kwamba CCM itashinda tu 2015 hata kama watanzania wooote watachagua CHADEMA. Lakini hivi mpaka sasa wadau mnajua ataegombea kiti hicho kupitia CCM? Nauliza kwa sababu baada ya Mkapa tulijua mapemaaaa kuwa Kikwete ndo atayefatia
 
Subiri hadi akitangazwa ndio utajua nani mgombea hapa utapata jina kutokana na upendo wa mtu kwake. pia swala la raisi huwezi jua hadi siku wakitangaza baada ya kuhesabu kura
 
Mgombea wa CCM ni Bernard K. Membe.

Ila kama ana nguvu ya kumshinda Lowasa!
 
Unapenda kudanganywa eeh?

Unategemea majibu ya swali lako hapa jf yatakuwa kweli?
 
Atakuwa mwanamke.Sasa tabir Mwanamke gani ana sifa ya kugombea.Nackia jamaa anataka kuziba mlango alioingilia.Chezea nanii wewee
 
Bangi na gongo vikichanganyikana na kichaa na ujinga ni balaa! Si mngoje huo mwaka 2015 au mnataka kujaza threads hapa? Shame on you!
 
Nyie watu wa Membe na El mnatuchosha na mawazo yenu ya urais kila kukicha agh!!!
 
Yani mama salma atuletee rais walai watu wa membe mumechanganyikia,membe hana uwezo,mnafiki,anajipendkeza,ni product ya ikulu kwa maana hyo atakuwa dhaifu kuliko huyu aliyopo..2015 kwa wananchi rais ni lowasa au dr.slaa,ndani ya ccm ni lowasa au nchimbi..membe ni green snake hana impact.
 
Mpaka itakapothibitishwa na chombo cha habari chenye mashiko hii itaendelea kuwa ni tetesi tu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom