Nani ni waziri mkuu bora tangu uhuru?

kimu mazengo

JF-Expert Member
Sep 30, 2018
927
733
Kwangu mm naona ni mh F. SUMAYE ,Sifa zake _sio mwoga,ana uwezo wa kumshauri mkubwa wake kama alivyofanya kwa mh mkapa,anapenda kushindana kwa hoja,hapendi watu kujaa gerezani,alipenda askari kuwa karibu na raia na kulinda mali zao,ana huruma,upendo,kushauriana maana binadamu si mkamilifu,hapendi umaskini na anatamani kila raia wa tzania kuwa tajiri ,mwisho anapenda m2 anayefuata katiba.!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anayefuta ni mh Sinde warioba yeye kwa ujumla anapenda m2 anayefuata katiba
Kwangu mm naona ni mh F. SUMAYE ,Sifa zake _sio mwoga,ana uwezo wa kumshauri mkubwa wake kama alivyofanya kwa mh mkapa,anapenda kushindana kwa hoja,hapendi watu kujaa gerezani,alipenda askari kuwa karibu na raia na kulinda mali zao,ana huruma,upendo,kushauriana maana binadamu si mkamilifu,hapendi umaskini na anatamani kila raia wa tzania kuwa tajiri ,mwisho anapenda m2 anayefuata katiba.!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Edward Sokoine, Kassim Majaliwa ameng’olewa meno. Kila kitu kinang’atwa kutoka juu.
 
mfuatano kwa ubora,SAS,malekela,lowasa,majaliwa,warioba,sokoine,sumaye
 
Kwangu mm naona ni mh F. SUMAYE ,Sifa zake _sio mwoga,ana uwezo wa kumshauri mkubwa wake kama alivyofanya kwa mh mkapa,anapenda kushindana kwa hoja,hapendi watu kujaa gerezani,alipenda askari kuwa karibu na raia na kulinda mali zao,ana huruma,upendo,kushauriana maana binadamu si mkamilifu,hapendi umaskini na anatamani kila raia wa tzania kuwa tajiri ,mwisho anapenda m2 anayefuata katiba.!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ni jambazi sugu,kwa kua umezaliwa jana huwezi jua,muulize Lipumba na waislam wa mwembe chai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom