Nani ni rafiki yako wa kweli??

zanzsco

Senior Member
Aug 21, 2011
161
45
Napenda kutoa hili swali kichwani mwangu mnisaidie wana JF.

Nimekuwa na marafiki wasio dumu kwa mda mrefu sasa yaani maisha yangu sina mtu ninayeweza jivunia huyu ni MY BEST FREND. NILIKUWA HURT NA RAFIKI YANGU KIPENZI( SIO MAHUSIANO) form 4 tangu hapo ckuthubutu tena kupenda marafiki.

Maisha yangu nina marafiki wale wa wakati,mahali na shughuli maalumu after that no strings attached and this has been my life since kuumizwa........ Halafu ina happen naturally sijui kwann?????????

Nisaidienii wana mmu na ma expirience yenu na marafiki hawa..........................

Inafika kipindi nikisikia mtu ana rafiki mpaka wana nunuliana nguo sare na kupanga time yao has frends nashindwa kuelewa kitu gani kinashindikana kwangu kuwa na frends like that...eg get together may be gals frends o boyz who r frends!!!!!!!!!

I always Pray to Jesus to give me A BEST FREND. And I BELIEVE ANAMWANDAA MTU KAMA HUYU.......JUST FOR ME.
Nawasilisha
 
Unatafuta best friend wa nini? bila best friend umepungukiwa nini? au unataka wa kuvaa naye sare?

Ushauri wa bure: - ishi vizuri na watu wote, changamka nao, saidiana nao, lia nao USITAFUTE BEST FRIEND. Utajuta mchana kweupeeeeeeee kwa Mungu hakuna nyota!
 
Asante kwa ushauri ila nakosa mtu wa kumwambia hw i feel kama rafiki.... kuna vitu cant tell mama.

Unatafuta best friend wa nini? bila best friend umepungukiwa nini? au unataka wa kuvaa naye sare?

Ushauri wa bure: - ishi vizuri na watu wote, changamka nao, saidiana nao, lia nao USITAFUTE BEST FRIEND. Utajuta mchana kweupeeeeeeee kwa Mungu hakuna nyota!
 
to me nilishajisemeaga kwamba sitaki kuumizwa na friends hiivyo nikajifunza kuwa na marafiki wa kawaida tu ambao tunasaidiana katika raha na tabu basi ila yule shoga hadi tuvaliane sare, tuazimane magari nk sina.
 
du! sikujua kumbe hata mimi ni "wa kawaida" tu, lol!
vibaya hivyo rafiki
 
ishi na watu wote vizuri, tafuta sana hela. I prefer beneficial friends! I respect all and live "friendly" with them. But someone must have something to become one of my friend
 
Dah usitake kujipa pressure bure. Fanya kazi na jipangie muda wako wa kuwa ama na familia yako na muda wako wa mazoezi na kujisomea. Epuka sana haya mambo ya best friend utakuja kujuta siku moja. Ishi na watu vizuri uwe tuu na muda wa kwenda out na jamaa au watu wako wa karibu but never ever fikiria kuwa na kitu aama mtu anaitwa best friend
 
du! sikujua kumbe hata mimi ni "wa kawaida" tu, lol!
vibaya hivyo rafiki
ofcourse wewe waijua nafasi yako kwangu ni zaid ya rafiki sio??
wewe na shoga yangu cacico et al ni watu ambao ni zaid ya marafiki, shoga, nk.
nyie ni wakaribu yangu.
 
Last edited by a moderator:
Hamna haja ya kujilaumu kwa kutokuwa na "best friend", la muhimu ni kuishi vizuri na kuwa na mawasiliano mazuri na watu wote wanaokuzunguka. Watu wengi hujilazimisha kuwa na best friends ili tu kuweza 'kufit in society', kuonekana wanakwenda na wakati, na kubwa zaidi ni kutojiamini. Kuna vijana wengi wanafanya vitu wasivyovipenda for the sake of maintaining friendship, hii husababisha watu waingie kwenye matumizi ya vilevi, uzinzi, kutoheshimu wazazi, utovu wa maadili, kutopata maendeleo/mafanikio kwenye ajira/masomo/biashara n.k. Kwa mfano mwanafunzi wa chuo anaweza kushawishika aende kujirusha usiku na marafiki zake badala ya kukaa na kujisomea kwani akikataa atauharibu urafiki uliopo.
 
ni kweli chuo had no strings attached to ny!!! ddnt lyk regrets after xul
 
Usimuamini rafiki wote ni wasaliti ni bora kumuamini mungu tu hakuna wengine.marafikiii shenzi zao.
 
Back
Top Bottom