Nani ni ndio "Kunje Ngumbale Mwiru"? Mwanahalisi wajibu

SYLLOGIST!

JF-Expert Member
Dec 28, 2007
540
250
Katika pita pita za kutafuta Habari, nilikutana na video ya Mwanahlisi TV ambayo inadai "Kunje Ngumbale Mwiru" mtoto wa Ngumbale Mwiru akiomba wazee, sijui ni wazee gani,waingilie kati kesi ya Mh. Mbowe. Huyu Kunje ndio nani na Kinje ni nani? Hayati Ngombale Mwiru ndio huyu huyu anaiitwa "Ngumbale"?Mwanahilisi tupatieni fafanuzi!
 

SYLLOGIST!

JF-Expert Member
Dec 28, 2007
540
250
Nawatafuna, nendeni yuu tub tafuta, "Kesi ya mbowe yamuibua mtoto wa Ngumbale Mwiru" Wazee waingilie kati.
Je ni wazee gani hawa?
Je ina maana kuwa kuna wana CCM walishirikiana na Mh.Mbowe?

Escoba, hakuna utamu wowote pale unapoona Kiongozi wa chama cha siasa CHADEMA anahusishwa na Mtoto au watoto wa vigogo wa CCM. hii sio safi Kwani ni kesi ya ugaidi
 

Mimi.

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
1,606
2,000


bofya juu


Sio Kinje huyu , Kinje mtu poa sio muongeaji kwanza. Kinje ni huyu mwenye miwani

845C7E41-4C0E-44C9-8099-B89658360585.jpeg
 

SYLLOGIST!

JF-Expert Member
Dec 28, 2007
540
250
Sio Kinje huyu , Kinje mtu poa sio muongeaji kwanza. Kinje ni huyu mwenye miwani

View attachment 1894754
Heee mbona huyu siyo Kunje Ngumbale? kwa hiyo kuna Kunje Ngumbale Mwiru na Kinje Kitile Ngombale Mwiru mimi sasa nime changanyikiwa ndio maana nikaomba ufafanuzi kutoka kikaangoni kwenyewe, yaani MWANAHALISI TV lakini inawezekana wako bize au hawapitagi humu ehhh
 

Burnaboy

JF-Expert Member
Dec 2, 2019
1,047
2,000
Heee mbona huyu siyo Kunje Ngumbale? kwa hiyo kuna Kunje Ngumbale Mwiru na Kinje Kitile Ngombale Mwiru mimi sasa nime changanyikiwa ndio maana nikaomba ufafanuzi kutoka kikaangoni kwenyewe, yaani MWANAHALISI TV lakini inawezekana wako bize au hawapitagi humu ehhh
Tusubiri jibu. Ila uwezekano kwamba kuna mtu anaitwa Kunje Ngumbale Mwiru na mwingine Kinje Kitile Ngombale Mwiru ni mdogo sana!! Haya ni majina nadra sana.Tuseme tu ni makosa na kiuandishi.
 

SYLLOGIST!

JF-Expert Member
Dec 28, 2007
540
250
Nasubiri, lakini nafikiri waje wao kusema, kwani, kumekuwa na aina fulani ya kuleta uhasama hasa pale wanaohusishwa ni Vijana au watoto wa vigogo wa CCM kumbukeni "Warakagate"
 

Avriel

JF-Expert Member
Jun 25, 2017
4,381
2,000


bofya juu
Huyu sio Kinjeketile Ngombale Mwiru mtoto wa pekee wa mzee Ngombale Mwiru. Huyu labda wamefanana majina au mtoto asiefahamika na familia.
Kinje Hana maneno na wananzengo mwenyewe Ukitoa kashfa alizowahi pata kuhusu mapouda akahamia zake South basi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom