Nani ni nani urais wa JMT 2025 kati ya Dr. Kalemani, Paul Makonda na Dr. Shein?

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Umofia kwenu wadau wa JF siasa.

Tetesi zipo japo mnaweza kubisha ila mtanikumbuka 2025, kuwa wagombea urais ndani ya CCM watakaotikisa ni Dr Medard Kalemani waziri wa Nishati, RC Makonda na Dr shein Rais wa sasa wa Zanzibar.

Habari za udaku kutoka ktk medani ya siasa nchini inamtaja Dr shein kuwa mtu mwenye sura ya upole lakini anayeweza kuhimili siasa za JMT kwani ni Makini na mkali mno tofauti tumuonavyo.

Waziri Dr Kalemani anatajwa kubebwa na sifa ya usambazaji umeme kwa vijiji vyote hadi kwenye tembe huku Tanzania ikiwa nchi ya kwanza Africa kutoa huduma hiyo kwa wananchi wake.

RC Dar Paul Makonda anatajwa kuwa ni mtu mbunifu ktk uongozi wa kutatua shida za watu na mtu mwenye uvumilivu zaidi ya hata Lowassa kutokana na kuhimili kejeli na matusi kutoka kwa watu wanaomchukia waliotapakaa kote nchini. Inadaiwa Dar ama Mzizima haijawahi na haitakaa impate RC kama huyu.

Chanzo changu nyeti serikalini kimenijuza Rais yupo hapo juu miongoni mwa watatu na nasubiri Uzi huu kufukuliwa November 2025.
 
Ccm hakuna anaefaa kuwa rais, period
 
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Siku January Makamba akigombea nitaenda kupiga kura. hawa wengine nitaendelea na mishe zangu tuu
 
Umofia kwenu wadau wa JF siasa.

Tetesi zipo japo mnaweza kubisha ila mtanikumbuka 2025, kuwa wagombea urais ndani ya CCM watakaotikisa ni Dr Medard Kalemani waziri wa Nishati, RC Makonda na Dr shein Rais wa sasa wa Zanzibar.

Habari za udaku kutoka ktk medani ya siasa nchini inamtaja Dr shein kuwa mtu mwenye sura ya upole lakini anayeweza kuhimili siasa za JMT kwani ni Makini na mkali mno tofauti tumuonavyo.

Waziri Dr Kalemani anatajwa kubebwa na sifa ya usambazaji umeme kwa vijiji vyote hadi kwenye tembe huku Tanzania ikiwa nchi ya kwanza Africa kutoa huduma hiyo kwa wananchi wake.

RC Dar Paul Makonda anatajwa kuwa ni mtu mbunifu ktk uongozi wa kutatua shida za watu na mtu mwenye uvumilivu zaidi ya hata Lowassa kutokana na kuhimili kejeli na matusi kutoka kwa watu wanaomchukia waliotapakaa kote nchini. Inadaiwa Dar ama Mzizima haijawahi na haitakaa impate RC kama huyu.

Chanzo changu nyeti serikalini kimenijuza Rais yupo hapo juu miongoni mwa watatu na nasubiri Uzi huu kufukuliwa November 2025.
Kumfikiria DAB kuwa rais wa nchi ni kukosa adabu na fikra.
 
Wazushi tu Mama haondoki kikatiba ana miaka mingine 5 anaweza kugombea na hajakaa mkao wa kuondoka.
 
Back
Top Bottom