Nani ni Nani Urais 2015: Edward Lowassa - Mbunge wa Monduli

Tunamwomba Dr. Slaa aje akanushe alafu akisha kanusha na sie tuna maswali yetu ya msingi ya kumuuliza, la sivyo Lowassa atabaki amechafuka na historia haitafutika kwake ..hii ngoma haiishii CDM mkuu, kwanza watwambie wao ni kanisa? wanatumia kitabu kipi kumtakasa mtu?

Dr.Slaa aliongea kwa niaba ya CDM na CDM ni taasisi ambayo imeshasema Lowasa ni Mtu safi kwa sasa.Kipindi kile alikuwa Mchafu kwa sababu alikuwa ndani ya Tope.CDM ndio wana haki ya kumsafisha Lowasa kwa sababu ndio waliomchafua.Hii ni kanuni popote Duniani.Mwiba hutokea ulipoingilia.
 
Smile, you don't own all the problems in the world! :smile-big:

Hicho kimsemo chako pekee ndio kinatupa faraja Watanzania.. Sikuamini Lipumba is this cheap, Prof mwenye record za kipekee darasani, na duniani kwa ujumla ananunuliwa kwa pesa dagaa kama hiyo.. Yaani anatusaliti Watanzania kwa billion 3??

Mkuu acha utani, bilioni tatu ni ndogo kweli!

Kiukweli mimi pia nisingeziacha.
 
Kila mtu ana Price Tag yake.. Sikuwahi kuamini Lipumba was that cheap..

Sawasawa na Steph Curry au KD asign kulipwa $ 5 Millions p.a.. Hata wewe utashangaa
 
Mkuu hawa wanasiasa wetu ni njaa tu kama sisi waumini wao, na ndiyo maana CCM wanaendelea kutuongoza kwa sababu bei za wapinzani sio kubwa kiasi cha kuwashinda kumanage.

Harafu ukumbuke, Lipumba ni veteran tayari. Hana kipya cha kuja nacho ili apandishe thamani yake tena.
 
Mkuu hawa wanasiasa wetu ni njaa tu kama sisi waumini wao, na ndiyo maana CCM wanaendelea kutuongoza kwa sababu bei za wapinzani sio kubwa kiasi cha kuwashinda kumanage.

Duuuh basi ni hatari.. Ila wapo ambao hawanunuliki.. Ndesamburo wanamjua vizuri maCCM
 
Dr.Slaa aliongea kwa niaba ya CDM na CDM ni taasisi ambayo imeshasema Lowasa ni Mtu safi kwa sasa.Kipindi kile alikuwa Mchafu kwa sababu alikuwa ndani ya Tope.CDM ndio wana haki ya kumsafisha Lowasa kwa sababu ndio waliomchafua.Hii ni kanuni popote Duniani.Mwiba hutokea ulipoingilia.

Sawa, waje watwambie kwanini walitulaghai na baada ya hapo watatakiwa kutwambia tuna sababu gani ya kuamini matamshi yao na ya viongozi wao? na ni nini hasa kiliwatuma kumsema hivyo? sisi ni watu wazima na haya mambo ni mazito kwa maana hiyo tutahitaji maelezo na sababu za kutosha na si haya mambo ya mfumo kwasababu mifumo inawekwa na mifumo inavunjwa ..kwani alivyoshindwa Tibaijuka na akaja Lukuvi akaweza ilikuwaje wakati mfumo ni ule ule? kwanini huyu aweze na huyu ashindwe ndani ya mfumo uleule? leta majibu kwa kuanza na wewe kwanza.
 
Walikuwa sahihi na wapo sahihi kulingana na uelewa wao.Kwenye Ile List of Shame,Lowasa katubu na kukiri kwamba alitumwa.Inasemekana kawaelezea mazingira yalivyokuwa alipotumwa na Mkubwa wake kikazi na hasa ukizingatia viapo vyao.Swala ni kwa hao Kumi waliobaki.Tuvute Subira maana wakati wa Kampeni atamwaga zaidi.
 
Hata kama LOWASA akiwa shetani mwenye mapembe tutamchagua huyo huyo.....tumeichoka CCM....Mwaka huu hata likiwekwa jiwe dhidi ya CCM tutalipigia kura jiwe liende ikulu........
 
Back
Top Bottom