Nani ni Nani Urais 2015: Edward Lowassa - Mbunge wa Monduli | Page 5 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani ni Nani Urais 2015: Edward Lowassa - Mbunge wa Monduli

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mcubic, May 11, 2015.

 1. mcubic

  mcubic JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2015
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 10,187
  Likes Received: 4,269
  Trophy Points: 280
  Mtatiro ameendelea kufanya uchambuzi miongoni mwa wanaotaka kugombea Urais, na leo hii anamchambua Lowasa:

   
 2. Lj Mwambar

  Lj Mwambar JF-Expert Member

  #81
  Aug 9, 2015
  Joined: Apr 23, 2013
  Messages: 541
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 60
  Tulia basiiii au umepewa posho ya kubisha jf
   
 3. Bravo H

  Bravo H JF-Expert Member

  #82
  Aug 9, 2015
  Joined: May 23, 2014
  Messages: 222
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Kweli ndege wafananao huruka pamoja... kaona ccm ni majambazi karudi kuruka pamoja na sauti ya umma kudai uhuru wa watu wengi
  VIVA UKAWA
   
 4. Lj Mwambar

  Lj Mwambar JF-Expert Member

  #83
  Aug 9, 2015
  Joined: Apr 23, 2013
  Messages: 541
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 60
  Macho mapana mmeshindwa kujenga ofisi
   
 5. k

  kindafu JF-Expert Member

  #84
  Aug 9, 2015
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,130
  Likes Received: 925
  Trophy Points: 280
  Mkuu Ngamiani, kama hizi habari ni za kweli, basi hakikisheni hiyo idara yenu ya kijasusi inakusanya nyaraka zote nyeti za swala hili, kwani baada ya October tutahitaji hii pesa irudi kwenye kuboresha huduma za kijamii katika utawala mpya!
   
 6. Mmawia

  Mmawia JF-Expert Member

  #85
  Aug 9, 2015
  Joined: Aug 20, 2013
  Messages: 57,175
  Likes Received: 22,207
  Trophy Points: 280
  Utaelewa tu maana hatuna haraka,umeshaambiwa ni saa mbili kweupee
   
 7. m

  mzee wa misele JF-Expert Member

  #86
  Aug 9, 2015
  Joined: May 17, 2015
  Messages: 368
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sisi tunachotaka mageuzi tu sio kingine UKwawa iwe madarakani basi
   
 8. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #87
  Aug 9, 2015
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ofisi tu, uwe mpole haikuwa kipaumbele lakini uwezo wanao. Kwani ccm imejenga ofisi? Ni wananchi wote wa Tanganyika na Zanzibar waliojenga chini ya chama kimoja. Mlichofanya ni kujirithisha tu. Subirini, Mbowe kawaambia wazi pasipo kumung'unya kwamba UKAWA ikiingia magogoni vyote mlivyopora vitakwenda Halmashauri kufaidisha umma wote. Kama unadhani natania uliza wenzako KANU, Kaunda yupo bado, na Malawi kawaulize utatolewa nta sikioni uzibuliwe akili
   
 9. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #88
  Aug 9, 2015
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Ili na nyie mtuibie na kututafuna?
  No way! Ni kauli kama hizi ndo zinatufanya tuwaone wanafiki, waongo na wenye uchu wa madaraka. .kumbe mlikuwa mnataka madaraka tu hata vita dhidi ya ufisadi ulikuwa ni geresha?
  Mtaaibika vibaya sana ..
   
 10. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #89
  Aug 9, 2015
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Hawezi kukujibu atatuma watu kukutukana tu! 😃
   
 11. Lj Mwambar

  Lj Mwambar JF-Expert Member

  #90
  Aug 9, 2015
  Joined: Apr 23, 2013
  Messages: 541
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 60
  Ha ha ha haiya bhana tusubiri ila mm ni TLP
   
 12. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #91
  Aug 9, 2015
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Vema TLP, mwenzio sina chama tangu kuanzishwa kwa vyama vingi kuanze, lakini nazifuatilia siasa za nchi kwa sababu zinaathiri kuishi kwangu. Ndio maana nikakuambia ofisi haikuwa kipaumbele chao japo uwezo wanao, kwa sababu mi I ni jicho la tatu. Asante kutangaza interest zako wazi. Umenigusa.
   
 13. l

  laprovidenza JF-Expert Member

  #92
  Aug 9, 2015
  Joined: Aug 10, 2013
  Messages: 298
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Hopeless argument
   
 14. CHAMVIGA

  CHAMVIGA JF-Expert Member

  #93
  Aug 9, 2015
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 7,694
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Watu wanayala matapish yao.
   
 15. Pelekaroho

  Pelekaroho JF-Expert Member

  #94
  Aug 9, 2015
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,507
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Sidhani kuwa na marafiki matajiri kama ni udhaifu, kwa kusema hivo maana yake kuwa na marafiki masikini ni sifa ya kugombea urais. Ni vema basi kwa sababu wagombea karibia wa vyama vyote wameshapatikana na wanajulikana, basi tuambiwe marafiki zao ni watu wa namna gani.

  Halafu hii sifa ambayo inaonekana inapata mashiko wakati huu, kwani Kikwete si ni rafiki mkubwa wa Lowassa, nitashangaa kama marafiki wa Lowassa sio marafiki wa Kikwete. Rostam Aziz ameshawahi kuwa mtunza hazina wa CCM, huyu ni rafiki wa ENL na JMK, kuna huyu mwingine anaitwa Karamagi, yeye alipewa mpaka kitengo kimoja pale bandarini na mkuu wa kaya. Kwa nini JMK asiambatanishwe na sifa kama hizo?

  Nchi hii ina watu masikini na matajiri, na wote hao ni watanzania na rais lazima awe anatokana na makundi hayo mawili. Lakini mwisho wa siku tutataka rais wetu aweze kupambana na umasikini, na mtu anayefaa lazima awe ameonesha kwamba anao huo uwezo wa kupambana na umasikini.
   
 16. Steph Curry

  Steph Curry JF-Expert Member

  #95
  Aug 9, 2015
  Joined: Dec 20, 2012
  Messages: 5,658
  Likes Received: 2,114
  Trophy Points: 280
  Smile, you don't own all the problems in the world! :smile-big:

  Hicho kimsemo chako pekee ndio kinatupa faraja Watanzania.. Sikuamini Lipumba is this cheap, Prof mwenye record za kipekee darasani, na duniani kwa ujumla ananunuliwa kwa pesa dagaa kama hiyo.. Yaani anatusaliti Watanzania kwa billion 3??
   
 17. F

  Farudume JF-Expert Member

  #96
  Aug 9, 2015
  Joined: Jan 10, 2013
  Messages: 3,915
  Likes Received: 2,929
  Trophy Points: 280
  Ni CDM waliosema Lowasa Mchafu hivyo ni CDM haohao wenye haki ya kusema Lowasa Msafi maana wao ndio wanaomjua.
   
 18. Nifah

  Nifah JF-Expert Member

  #97
  Aug 9, 2015
  Joined: Feb 12, 2014
  Messages: 25,895
  Likes Received: 24,265
  Trophy Points: 280
  Mimi uchungu nilioupata hata hauelezeki.Mungu atawaumbua tu maana walidhani itakua siri lakini yameshakua hadharani mapema hii.

  Nashukuru kwa kuwapa faraja Watanzania wenzangu. ..
  #TogetherWeStand
   
 19. Nifah

  Nifah JF-Expert Member

  #98
  Aug 9, 2015
  Joined: Feb 12, 2014
  Messages: 25,895
  Likes Received: 24,265
  Trophy Points: 280
  Tutafika tu kaka, hawa wasaliti bora wamejiondokea mapema.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #99
  Aug 9, 2015
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,317
  Likes Received: 3,254
  Trophy Points: 280
  Tunamwomba Dr. Slaa aje akanushe alafu akisha kanusha na sie tuna maswali yetu ya msingi ya kumuuliza, la sivyo Lowassa atabaki amechafuka na historia haitafutika kwake ..hii ngoma haiishii CDM mkuu, kwanza watwambie wao ni kanisa? wanatumia kitabu kipi kumtakasa mtu?
   
 21. U

  UCD JF-Expert Member

  #100
  Aug 9, 2015
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 2,824
  Likes Received: 1,870
  Trophy Points: 280
  endelea kuota......!!
   
Loading...