nani ni MTanzania?Utamtambuaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nani ni MTanzania?Utamtambuaje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkurabitambo, Jul 27, 2012.

 1. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  nchi ipo katika mchakato wa vitambulsho vya taifa.kuna hatihati kwamba watu ambao si watanzania wakasajiliwa kama watanzania. Ninaona haja ya kujadili utanzania wetu na njia nyepesi ya kumtambua mtanzania

  wasalaam
   
 2. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kila atakayekutwa nchini siku ya kujiandikisha, apewe uraia. Hii ni kwa sababu mikoa yote ya mpakani ina muingiliano mkubwa, ambao kwa vyovyote, haiwezekani kuutatua. Tanganyika mlikuwa wapi, hadi kuanza mchakato huu zaidi ya miaka 50 baada ya uhuru???? wapeni wote uraia ndipo muanze kudhibiti wageni.
   
Loading...