Nani ni msajili wa vyombo vya habari tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani ni msajili wa vyombo vya habari tanzania?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Edgar011, Aug 7, 2011.

 1. Edgar011

  Edgar011 Member

  #1
  Aug 7, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Limekua ni jambo la kawaida kuona vyombo vya habari vikiongezeka nchini. Hii ni kutokana na kupanuka kwa sekta ya uwekezaji kwa wawezekaji wazawa au wa kigeni. Chombo cha habari ninachotilia mkazo hapa hasa hasa ni MAGAZETI,tena haya wanayoyaita ya UDAKU.
  Tumekua tukisisitiza katika swala zima la kudumisha uzalendo na amani vile vile. Lakini mambo na picha zinazobandkwa kwenye magazeti hayo zinasikitisha na kuvunja heshima na utu pia kwa baadhi ya watu. Hapo ndo swali langu linakuja,NI NANI MSAJILI WA VYOMBO VYA HABARI NA NI VIGEZO GANI VINACHUKULIWA KUPEWA VIBALI HIVYO?
   
Loading...