stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,975
- 4,207
Je, nani ni boss hapo?
Nani anatoa maagizo kwa mwenzake?
Nani ni mkuu hapo???
Khaaa Mwanaume lazima uwe na nini? DuuuhMambo mengine ni umbea usiokua na msingi.
Kipi kibaya hapo? Au mlitaka RC Makonda aoneshe nidhamu ya uoga?
Mwanaume lazima uwe confident.
Unauliza matako ya mbwa ilhali mkia unauona? We vipi?
Duh!.
Kama vile amefunga mikono kwa unyenyekevu akipokea maelekezo!.
P