Nani ndugu wa damu kati ya hizi pande mbili?

Habari za muda huu wana jamii,
Naimani mko poa kabisa.

Bila kupoteza muda naomba msaada wenu tafadhali, Ndugu wa damu ni yupi kati ya hawa wawili,
mtoto wa shangazi/baba mkubwa/mjomba, au mtoto wa mama mzazi alie zaa na baba mungine ambae si baba yangu?

Sent using Jamii Forums mobile app
We mpe tu hiyo papuchi ila msitiane mimba

muhogo,nazi,karanga tende,asali
 
Mtoto wa mama aliyezaliwa nje sababu mmechangia damu moja. Hata mtoto wa mjomba wako ambaye amezaliwa tumbo moja na mama yako. Hata DNA mara nyingi wanafuatilia ndugu wa upande wa mama.
 
Habari za muda huu wana jamii,
Naimani mko poa kabisa.

Bila kupoteza muda naomba msaada wenu tafadhali, Ndugu wa damu ni yupi kati ya hawa wawili,
mtoto wa shangazi/baba mkubwa/mjomba, au mtoto wa mama mzazi alie zaa na baba mungine ambae si baba yangu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto wa mama yako mzazi aliyezaa na Baba yako mwingine ndio wa Kwanza kuwa ndugu yenu. Yaani ninyi ni mama mmoja except Baba tuu. Achana na mambo ya kitamaduni Ila kiuhalisia ndio huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamama wanabambikia wababa sana watoto, so ndugu wa mama ndio wa halisi. Upande wa Baba mnaweza kua mmebambikiana tu. By the way sio lazima awe huyo, Mbona dunia imejaa watu wengi tu, achana nae huyo
 
Wamama wanabambikia wababa sana watoto, so ndugu wa mama ndio wa halisi. Upande wa Baba mnaweza kua mmebambikiana tu. By the way sio lazima awe huyo, Mbona dunia imejaa watu wengi tu, achana nae huyo
Ahsante naimani hata wewe waweza kua ndugu yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom