Nani ndo alieisambaratisha familia; mume ka-cheat, mke nae akalipiza kwa ku-cheat...

Mwanaume kuwa malaya ni heshima na fahari kwa jamii inayomzunguka, ila mwanamke kuwa malaya ni aibu na fedheha kwa jamii inayomzunguka!

Kitamathari Mwanaume ni kama FUNGUO wakati mwanamke ni kama KUFULI..... Sasa FUNGUO yenye uwezo wa kufungua kufuli nyingi inaitwa kwa heshima kabisa kwamba ni MASTER KEY Na inatunzwa vizuri ilhali KUFULI linalofunguliwa na kila funguo Hakuna mtu anayetamani kulitumia.
Naona unazidi kumpalia ujiko tu mwanamme kitombitombi hahahaaaaaaa.
 
Ndio urudi na alama kabisa kuwa umeliwa?
Dah!!
Nyie wanawake mnajuana wenyewe.
Ukiona mwanamke anachepuka kulipiza kisasi hana akili kabisa ni wa kumuacha.
Mangapi atalipiza??

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijatetea uchepukaji wa mwanamke. Kuchepuka ni dhambi haijalishi ni mwanaume au mwanamke.
Mnavyotetea kuchepuka kwa mwanaume mnashangaza sana. Hakuna sehemu imehalalishwa. Hata kwa waislamu hairuhusiwi labda uhalalishe kwa kuoa!
.
.
Hamjui ni jinsi gani wanawake wanaadhirika kwa uchepukaji wenu, tena mnafanya bila adabu na bila kificho unadhani ni wanawake wangapi wanaweza kuvumilia? Anaweza asilipize kwa kuchepuka lakini kitu unachojenga moyoni mwake ni hatari sana. Nyie ndio mnasababisha migogoro kwenye ndoa halafu mnakuja hapa kulalamika. Ndoa haiwezi jengwa na mwanamke peke yake hata siku moja.
Ndio maana zinavunjika hlf mnamlaumu mwanamke. Hamuoni aibu?

Wanawake wanaohitaji huduma na wamekosa wa kuwahudumia ni wengi.

Mwanaume anatoa huduma kwa walioikosa.
Kwani wewe umekosa huduma mpaka ukachepuke?
Hivi hao wanawake wanaokosa wa kuwaoa mnataka wapewe conjugal rights na nani?
Generally, wanawake ni wengi kuliko wanaume kwa kila age.
Bado wanaume wengine;-
Wengi wako jela kuliko idadi ya wanawake
Wengine wamekuwa mashoga
Wengine hawana vipato vya kuwahudumia nyie kwa kila mnachotaka
Wengine hawana nguvu za kiume.

Aaafu mimi ndio ninaoa mwanamke. Namlipia mahari.
Sio kila ninachofanya twende sawa. Anzeni kutulipia mahari na nyie basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanawake wenzake wakicheat wanaleta pesa hlf et ye analeta mtoto kwel hy maandaz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom