Nani naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi? kati ya Philip Mlungu na Mulugo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi? kati ya Philip Mlungu na Mulugo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DullyJr, May 11, 2012.

 1. DullyJr

  DullyJr JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,040
  Likes Received: 369
  Trophy Points: 180
  Nimepatwa na kigugumizi kuhusu huyu mbunge wa Songwe na Naibu waziri wa elimu ambaye pia ni mmiliki wa shule ya sekondari ya Southern Highland iliyopo mbeya mjini.
  Nimefanya utafiti wa kina nimegundua kuwa wanafunzi wengi wa shule hiyo hawamjui Naibu waziri huyo kwa jina bali kwa sura!
  Kuna tetesi huyu jamaa anatumia vyeti ya mtu mwingine,
  wanaolijua vizuri hili tuwekane sawa
   
 2. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kwa wakazi wa mbeya suala la vyeti vya mtu mwingine siyo issue, ninawajua madokta (PhD) waliosomea majina ya wenzao. But tunachojali kwa sasa ni kwamba wana uwezo wa kudeliver. As I can remember those days, watu wengi walikuwa wanarudia shule, na wakirudia walikuwa wanatumia majina ya wale waliokimbia shule. Sasa kama alitumia jina la mtu halafu akafanikiwa kupita vizingiti vyote hivyo vya elimu then hakuna shida. Tujali uwezo wake na si jina na cheti.
   
 3. DullyJr

  DullyJr JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,040
  Likes Received: 369
  Trophy Points: 180
  nimekusoma mkuu,ila uwezo wake unauonaje?mimi sioni kama upo sawa!zaidi ya kuzidi kudidimia kwa elimu yetu...na je,tunavifundisha nini vizazi vilivyopo na vijavyo?wasiwe na juhudi masomoni kutegemea vyeti vya watakaokimbia shule hapo baadae?
   
 4. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Ikumbukwe kwamba ile shule siyo ya kwake, ni ya Mhindi mmoja alifariki akamuachia mkewe ambaye naye akaolewa na Tajiri mmoja kule Canada hivyo akamuachia Mlugo a.k.a Mlungu, Habari zilizoenea Mbeya ni kwamba huyu jamaa akiwa anaajiriwa pale Southern Highlands Sec School alitumia vyeti vya mtu aliyekuwa kwa wakati huo anafundisha Morogoro kama sikosei ni Mzumbe secondary school. Baadaye kama mtu aliye achiwa shule akaamua kujipa cheo cha Headmaster kwa kutumia vyeti harisi kitu ambacho kilikuja kukataliwa na mamlaka husika kwani alikuwa hana sifa na kutokustahili kuwa headmaster, hivyo akaamua kujipa cheo cha umeneja wa shule na baadaye kutokana na mapato aliyokuwa anayapata pale shule yalimuwezesha kuwa na uwezo wa kutoa Takrima aliamua kwenda Songwe kugombea na akaukwaa ubunge na baadaye Unaibu waziri ila ukikaa na mtu yeyote anayemfahamu vizuri inadaiwa ni msanii tuu ambaye serikali ingekuwa makini angechunguzwa na kukutwa kuwa ni mmoja wa wadanganyifu hapa nchini. Tembelea mbeya utapata story vizuri..................
   
 5. TEMPOLALE

  TEMPOLALE JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna mdau pale anaifahamu sana hii shule na alijitahidi kuangalia namna ya kupata file la huyu mtu pale shuleni juhudi zikakwaa kisiki maana alitaka aweke hapa Jamvini hard copy ya barua ya ajira yake na vyeti harisi ili mjionee utumbo wake, inauma sana kuwa na Kiongozi katika sector ya Elimu aliyewahi kujihusiha na udanganyifu wa vyeti vya shule
   
 6. DullyJr

  DullyJr JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,040
  Likes Received: 369
  Trophy Points: 180
  dah!ahsant mkuu,kweli hii serikali ni ya kisanii
   
 7. DullyJr

  DullyJr JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,040
  Likes Received: 369
  Trophy Points: 180
  ndio maana watoto wa siku hizi wanamaliza hata kusoma na kuandika hawajui!
  Tutajikomboa vipi na hii mitaala mibovu?kama wakuu wenyewe vilaza?
  MUNGU IBARIKI TANZANIA
  MUNGU IBARIKI ELIMU YETU
   
 8. DullyJr

  DullyJr JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,040
  Likes Received: 369
  Trophy Points: 180
  dah!ahsant mkuu,kweli hii serikali ni ya kisanii
   
 9. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Phillipo Mulugo alimaliza kidato cha sita Songea Boys mwaka 1998 na kupata daraja la nne la alma 18.Mengine sijui...
   
 10. TEMPOLALE

  TEMPOLALE JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii ndo wadau wanadai ilishindikana kuombea hata Diploma ya ualimu, njaa ilipokuwa kali akaomba vyeti vya mtu akafanyie kazi pale Southern Highlanda Sec School, na huyu mtu inasemekana ndiye aitwaye Mlungu.
   
 11. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  This is researchable!!
   
 12. DullyJr

  DullyJr JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,040
  Likes Received: 369
  Trophy Points: 180
  dah!inachanganya kiukweli,bora liende
   
 13. DullyJr

  DullyJr JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,040
  Likes Received: 369
  Trophy Points: 180
  dah!inachanganya kiukweli,bora liende
   
 14. Omonto wa-hene

  Omonto wa-hene Senior Member

  #14
  May 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 179
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Wenye vyeti vilivyo na majina ya watu wengine nchi hii ni wengi na wako serikalini pia.Shame upon you, Tanzania!!
   
 15. DullyJr

  DullyJr JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2017
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,040
  Likes Received: 369
  Trophy Points: 180
  Bar sheeeeeeety
   
 16. comrade igwe

  comrade igwe JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2017
  Joined: Jan 12, 2015
  Messages: 6,180
  Likes Received: 3,135
  Trophy Points: 280
  Mulugo
   
Loading...