Nani mwongo zaidi?

Tall

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
1,425
165
Uongo ni kitu cha kawaida katika mapenzi.Hata Ibrahim kwenye biblia aliongopa kuwa, Sara si mkewe,ili kuepuka mfalme asimuue yeye na kumchukua mkewe mrembo awe wake.Hata hivyo imeandikwa waongo hawatauona ufalme wa mbinguni. Tuyaache hayo. Sasa? Leo hii kwenye mapenzi watu wanaongopeana kweli kweli,tena bila sababu yoyote ya maana wamezidisha sana, utasikia,
Mara sina pesa wakati anazo kibao, mara nasafiri kumbe yupo Dar,mara nisubiri nipo karibu nakuja sasa hivi,kumbe yuko mbali sana na atatokea baada ya masaa matatu,mara sjaolewa au sina mke au mchumba wakati anae .mara nitakufanyia hivi na asitekeleze,mara nakupenda sana sili chakula wala silali usingizi kwa ajili yako,wakati anakula ananeepeana na analala hadi anachelewa kazini,mara I love you,kumbe i hate you, mara you only, kumbe wapo kama saba hivi kila siku wanaambiwa you only. Mara naumwa au sijisikii vizuri kumbe looo, hajambo kabisa,mara huyu tulisoma wote, looo ,kumbe ni mpenzi wake,mara simu iliisha chaji wakati alizima simu, mara nipo mbagala wakati yupo kimara mara nipo kazini kumbe yupo guest house au bar.Kuna wataalamu wa uongo katika mapenzi jamani. Kwani ni lazima uongope?.Hasara ya uongo ni kuumbuka na kupata aibu siku ukweli ukijulikana. Kinachonitatiza ni kumjua Nani mwongo zaidi kwenye mapenzi? ni Mwanaume au Mwanamke? naomba tuwe fair, Ili kumjua chukulia wewe binafsi umeshamwongopea au kuwaongopea mpenzi/wapenzi wako mara ngapi? na je umeshaongopewa na mpenzio/wapenzi mara ngapi?baada ya tathmini hiyo utapata upande unaozidi, kama wewe ni mwongo zaidi na ni mwanaume basi jibu litakuwa wanaume waongo zaidi kwenye mapenzi.Tukimjua nani zaidi au jinsia gani zaidi, hatutaisuta au kumsuta ila kwanza tutakuwa na tahadhali,pili tutawaomba angalau wapunguze jamani. Uongo unaharibu raha ya mapenzi ati.Unakuta mtu kutwa nzima anamwongopea mpenzi wake mara18 hivi?
 
Mwanaume mwongo zaidi!

Mwanaume ndiye mtongozaji, na silimia 70 ya maneno uliyoandika hapo ni ya kutongozea, ambapo inamhusu mwanaume mojakwa moja!

Kutokana na uongo wa wanaume kukomaa na kubobea, basi wasichana au wanawake wamejifunza saundi hizo na kuzitumia against wanaume!..

Kwasasa wanawake wamekuwa waongo hata kuwazidi wanawake!

Imagine mwanamke anaamua kutembea na simu ya wireless ya mezani kwenye begi, ili akipigiwa na mumewe ajulikane yuko nyumbani!!
Halafu mabegi haya ya siku hizi ambayo wanawake wanaenda nayo kazini ni makubwa mno, anaweza kuhamisha nguo zake zote nyumbani, mzee huna habar!:D .Yana vibweka vingi sana HAYA MABEGI...sijui ndo fasheni gani!..
 
pj umenukuna hapo kwenye mabegi ya hawa wenzetu
ni makubwa mno, tena yanatunza siri sana.
ukilifungua hilo waweza usiamini
kuna kanga
kuna chupi
kuna sketi
mafuta ya nywele
kuna lotion
vitana

hala ukifungua zipu ya pembeni kidogo unakuta pedy!

wanawake waongo zaid
 
Hapa hakuna muongo zaidi,bali hii picha nzima inafanana hivi:
Mapenzi na soka(mpira wa miguu) ni vitu vinavyoshabihiana,Mfano,soka si rafu,lakini rafu ni sehemu ya soka.Vivyo hivyo kwa mapenzi,mapenzi si uongo,lakini uongo ni sehemu ya mapenzi.Hivyo basi naomba tuendelee kudanganyana ili kutimiza dhima nzima ya mapenzi!!
 
Duu! Wote ni waongo kutegemea na mazingira na suala lililojitokeza kupelekea uongo kujitokeza. Wakati mwingine uongo huzungumzwa ili kuokoa jambo f'lani muhimu mfano ndoa n.k
 
Wanawake wanapenda kudanganywa. Na usipowadanganya wanakuona ****...beleave you me, unaanzia kwenye kutongoza, unaweza kutongoza dem ukijua huyu mi siezi kumuoa, nataka pumziko tu, lakini yeye akang'ang'ania umuhakikishie kuwa humchezei. Unasema tu nakuhakikishia na yy anakubali.
Hapo ndo wananiacha hoi.
 
mapenzi si mchezo mchafu bali kuna wapenzi wachafu kikubwa kinachotakiwa ni kuaminia na kuheshimiana. suala la uaminifu wote hawafai
 
mabegi ya dada zetu lazima yawekwe hivyo vitu coz wao wakotofauti kimaumbile. chupi, pedi, kanga ni lazima vinasaidia pale unapopota breedi ya ghafla kwani huwa inabadilikaga na kutofuata tarehe je unaweza kuendesha gari bila kuwa na spana au tairi la spea
 
Women may be able to fake orgasms, but men can fake whole relationships.


Sharon Stone
 
-Kuna mdau kaongelee kanga,underwear nk kuwa ktk mabegi ya wanawake.Hilo nakubaliana nalo coz hawa ni wanawake ila wengine sasa wanatumia hiyo excuse kubebea vitendea kazi vyao

-pia kama mtu anamheshimu mwenzake hatamdanganya kitoto namna hiyo

-Hata mimi nilishawahi danganya sana ila nimeacha,lakini mazingira ndo yalinilazima...enzi nikiwa 20-23 hapo..we acha.Leo hii nina umri wa kiutu uzima 25 nimejifunza uaminifu kwa hali na mali
 
Nyie mnasema mabegi ya wanawake mbona hicho ni cha mtoto. Huku ughaibuni ndo kiboko, mke ana usafiri wake halafu una kila kitu utadhani analala kwenye gari, mabegi ya kuchange yamo garini, viatu, swimming coast, towel n.k.

Huko nyumbani bado hatudanganyani kiasi hicho. Mi nawapa credit wanawake wote wa bongo. Hongereni sana, ungezeni ukubwa wa begi bado mna-miss vifaa vingi sana. Bebeni mpaka mafuta ya massage. Huduma ni popote.
 
Nyie mnasema mabegi ya wanawake mbona hicho ni cha mtoto. Huku ughaibuni ndo kiboko, mke ana usafiri wake halafu una kila kitu utadhani analala kwenye gari, mabegi ya kuchange yamo garini, viatu, swimming coast, towel n.k.

Huko nyumbani bado hatudanganyani kiasi hicho. Mi nawapa credit wanawake wote wa bongo. Hongereni sana, ungezeni ukubwa wa begi bado mna-miss vifaa vingi sana. Bebeni mpaka mafuta ya massage. Huduma ni popote.

...duuhh...!!
 
Men lie the most,
but women tell the biggest lies.

Men, we lie all the time.
We lie so much, it's damn near a language.

Men, we lie all the time.You know what a man's lie is like?
A man's lie is like, ''l was at Tony's house.

''l'm at Kenny's house.'' That's a man's lie.

A women's lie is like, ''lt's your baby.''
-''lt don't even look like me.''
-''He's got your hat.''

That's right. Who the biggest liars?
Women the biggest liars.
You got on heels, you ain't that tall.
You got on makeup,
your face don't look like that.
You got a weave, your hair ain't that long.
You got a Wonderbra on,
your titties ain't that big.


by CHRIS ROCK

 
mabegi ya dada zetu lazima yawekwe hivyo vitu coz wao wakotofauti kimaumbile. Chupi, pedi, kanga ni lazima vinasaidia pale unapopota breedi ya ghafla kwani huwa inabadilikaga na kutofuata tarehe je unaweza kuendesha gari bila kuwa na spana au tairi la spea
hapo umenena mkuu!
 
Back
Top Bottom