Nani mwingine amegundua utata huu selection ya UD ilivuja? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani mwingine amegundua utata huu selection ya UD ilivuja?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Salary Slip, Aug 20, 2012.

 1. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 25,041
  Likes Received: 37,834
  Trophy Points: 280
  Wadau mimi kuna kitu nimegundua kuhusu hii selectio ya ud na labda niulize wenzangu kama mmeona kitu kama hiki au hata mapungufu mengine.Hii selection inaweza ikawa ya kweli ila hata hivyo kuna mambo ambayo hayako sawa.Nimegundua mambo hayo kutokana na kozi nilizoomba:-
  1.Moja ya kozi nilizoomba ni B.sc with educatio code UD032
  Kozi hii kwenye guide book ilionyshe kuna nafasi 300.Cha ajabu ni kuwa kwenye hii selection ya ud kuna majina 282 tu na hivyo nilitarajia kuona available solts 18 ila ukweli ni kwamba available slots kwa hii kozi hakuna yaani ni zero.Sasa hizo nafasi 18 zimekwenda wapi?Makosa ni ya TCU au ni hii seletion ya ud?
  2.Kozi ya general scince code UD020
  Hii kozi kwenye guide book ilionyesha nafasi 40 ila kwenye selection ya UD kuna majina 38 tu na ukija kwenye available slots ni zero.Sasa hizo nafasi 2 mbona kwenye selection ya ud hazionekani wakati kwenye available sots ya TCU ni zero kwa maana ya kwamba nafasi zote 40 zimejaa.Kama zimejaa mbona kuna majina 38 tu badala ya 40 kwenye hii selection ya ud?
  3.B.sc with education code UDM03 ya mkwawa kama chuo kishiriki cha ud
  Hii kozi kwenye guide book ilionyeha nafasi 150.Cha kushangaza kwenye available slots hakuna nafasi kwa maana ya kuwa nafasi zote 150 zimejaa lakini ukija kwenye hii selection ya ud kuna majina 141 tu badala ya majina 150 ili kweli kozi hii iwe imetimia.

  Makosa kama haya nimeyaona ktk program hizi UD034 na UDO36.Mapungufu haya nimeyagudua kwasababu hizi ni miongoni mwa kozi nilizoomba.Yaani hakuna uhusiana kati ya nafasi zilizokuwepo kwenye guide book,available slots na idadi ya waliochaguliwa ktk hii selection ya ud.Sasa sijui hali ikoje kwa kozi zingine.

  Hata hivyo, lazima nikiri kuwa nimegundua usahihi ktk kozi moja miongoni mwa nilizoomba nayo ni B.sc.with education code UDD03 ya Duce(chuo kishiriki cha ud).Hii kozi kwenye guide book kulikuwa na nafasi 200 na kwenye available slots kuna nafasi 12 tu.Hii ni sahihi kwasababu hata kwenye hii selection ya ud kuna majina 188 tu kwahiyo ni kweli lazima kuwe available slots 12 ili kutimiza idadi ya majina 200 kama guide book ilivyokuwa inaonyesha.

  Kama kuna mwenye kuweza kutupa ufafanuzu atusaidie maana wakati mwingine nahisi hizo nafasi ambazo hazionekani labda ziko kwa ajili ya watu fulani ambao walitengewa kwasababu mbalimbali.
   
 2. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Duh sikulijua hili,hebu tuwasubiri wenye kuyafahamu watujuze
   
 3. k

  king rockie ATL JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sina uhakika sana ila ni kwamba hayo matokeo yako incomplete kuna watu wenye vigezo vya equivalent na indirect hawajaonyeshwa lakini pia tukumbuke hii sio official release tusubiri yakitolewa rasmi ndo tutajua kwamba kosa liko wapi na tutaona hizo slot zote kama ziko occupied! kwa mfano udom wao wameonyesha kua ile list yao ni first part kwahiyo kuna part nyingine bado ambapo inawezekana kuna waombaji wa indirect na equivalent so lets be patient halafu tuone itakuaje,! mtazamo wangu tu!
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  acha pumba wewe,hujui kwamba kuna nafac zimeachwa kwa ajili ya watu wa equivalent?pole kwa kutochaguliwa
   
 5. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ud hiyo hiyo alisoma kikwete,lowassa mwigulu
   
 6. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 25,041
  Likes Received: 37,834
  Trophy Points: 280
  Ok,poa.
   
 7. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,902
  Likes Received: 4,759
  Trophy Points: 280
  Out of Topic kama kawaida yako.
   
 8. Triple G

  Triple G JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  mkuu Mimi nilisoma General scienc akati tunaingia 2009 tulikuwa 18 tu,kumbe system imechange
   
 9. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 25,041
  Likes Received: 37,834
  Trophy Points: 280
  Mkuu ndio hivyo mambo yanabadilika.
   
 10. Njunwa Wamavoko

  Njunwa Wamavoko JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 5,579
  Likes Received: 429
  Trophy Points: 180
  inaonesha bro utembeleagi profile!naongea na evidence, ukiangalia capacity ya md muhas kene guidebuk ni 200,lkn ulipokuwa unavisit my profile na kuweka cursor kwenye code ulikuwa unaoneshwa capacity ni 190 tofauti na zile za g.buk,the same applies kwa course nyingine,wakati available slots za coz tajwa ni 0.Kwa maana hiyo,hii c evidence ya kusema selection udsm ina mapungufu,ilo swala lilikuwepo!
   
 11. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #11
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 25,041
  Likes Received: 37,834
  Trophy Points: 280
  Mkuu hilo unaloongea hata mimi nalitambua sana.Kwa mfano hii program code UD032 kwenye guide book ilionyesha nafasi 300 lakini mpaka leo nikiangalia kwenye profile yangu zinaonekana nafasi 285 tu.Hata hivyo selection ya ud inaonyeha majina 282 tu.Sasa hayo matatu yakuwapi?

  Ukija porgram UDD03 kwenye guide book ilionyesha nafasi 200 lakini leo hii kwenye profile yangu ziko nafasi 190 tu.Selection ya ud ina majina 188 tu na nafasi zilizobaki kama available slots ni nafasi 12.Sasa hapo mkuu jiulize uhusiano kimahesabu uko wapi?Kwa point yako mkuu 188 +12 ni sawa na 190 kweli kama tutazingatia profile?

  Hata hizo kozi zingine nilizotaja hali ni hiyo hiyo.

  Mkuu mimi naamini sio rahisi kwa hii selection ya ud kuwa na makosa asilimia mia moja maana ni vigumu kufoji kitu kama kile.Ukiiangali ilivyo ni vigumu kusema mtu anaweza kuifoji ila mimi nachokiana hapa huenda ilikuwa haijakamillika.

  Uwezekano mwingine ni labda hizo nafasi zilikuwa ni kwa ajili ya equivalent ila hata hivyo nashindwa kuelewa ni kwanini zilipelekwa TCU wakati watu wa equivalent wanaomba kupitia chuoni moja kwa moja.
   
 12. siansakala

  siansakala Member

  #12
  Aug 20, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  UDSM kuna nyama tamu kichz,,,
   
Loading...