kende JF-Expert Member Dec 2, 2013 3,527 1,664 Apr 20, 2015 #1 Rose Muhando? Bahati Bukuku? Christina Shusho? Bonny Mwaitege? Upendo Nkone? Jennifer Mgendi? Beatrice Muhone? Ambwene Mwasongwe? Martha Mwaipaja? Flora Mbasha?.............
Rose Muhando? Bahati Bukuku? Christina Shusho? Bonny Mwaitege? Upendo Nkone? Jennifer Mgendi? Beatrice Muhone? Ambwene Mwasongwe? Martha Mwaipaja? Flora Mbasha?.............
kende JF-Expert Member Dec 2, 2013 3,527 1,664 Apr 20, 2015 Thread starter #4 Money Stunna said: Hao wote isipokuwa mbasha, Click to expand... ni mwimbaji mzuri pia
C christmas JF-Expert Member Jul 21, 2011 2,701 1,276 Apr 20, 2015 #7 Sumu said: Fanuel Sedekia. R.I.P. Click to expand... mkuu naungana na ww pia John Lisu namkubali japokua nimesikiliza nyimbo zake chache.
Sumu said: Fanuel Sedekia. R.I.P. Click to expand... mkuu naungana na ww pia John Lisu namkubali japokua nimesikiliza nyimbo zake chache.
Red Giant JF-Expert Member Mar 9, 2012 15,658 20,889 Apr 20, 2015 #8 rose mhando ni noma. hata data zinamsapoti.
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Apr 22, 2011 10,707 5,664 Apr 20, 2015 #9 Christina Shusho na Bahati Bukuku!
Prishaz JF-Expert Member Nov 18, 2011 2,855 4,893 Apr 20, 2015 #10 Sumu said: Fanuel Sedekia. R.I.P. Click to expand... Naungana na wewe bila kumsahau Upendo Kilahiro
jiwekuu770 JF-Expert Member Feb 12, 2015 2,247 1,634 Apr 20, 2015 #12 rose muhando ni hatari aisee af ni mbunifu ao wengi wanacopia kwakeee
idawa JF-Expert Member Jan 20, 2012 25,284 38,312 Apr 20, 2015 #15 Hao wote hakuna anaeweza kumfikia Jenifa Mgendi,Huyu alikuepo toka enzi hizo na sijui kama kuna yoyote anaweza kufika hata nusu ya album za huyu mama.
Hao wote hakuna anaeweza kumfikia Jenifa Mgendi,Huyu alikuepo toka enzi hizo na sijui kama kuna yoyote anaweza kufika hata nusu ya album za huyu mama.
E enhance JF-Expert Member Apr 10, 2014 449 176 Apr 20, 2015 #16 idawa said: Hao wote hakuna anaeweza kumfikia Jenifa Mgendi,Huyu alikuepo toka enzi hizo na sijui kama kuna yoyote anaweza kufika hata nusu ya album za huyu mama. Click to expand... Mkuu hapa hoja ni nani mkali kwa uimbaji? na wala sio kuwa na albam nyingi! zinaweza kuwa nyingi lakini hakuna ubora!
idawa said: Hao wote hakuna anaeweza kumfikia Jenifa Mgendi,Huyu alikuepo toka enzi hizo na sijui kama kuna yoyote anaweza kufika hata nusu ya album za huyu mama. Click to expand... Mkuu hapa hoja ni nani mkali kwa uimbaji? na wala sio kuwa na albam nyingi! zinaweza kuwa nyingi lakini hakuna ubora!
Kanali G JF-Expert Member Oct 21, 2013 9,902 14,377 Apr 21, 2015 #20 Huyu Shusho anafunika aisee kabarikiwa kila kitu