hii JF wakati mwingine inashangaza kweli kweli lol!
Nani mwenye makosa kati ya Mwanamke aliyelala na Mumewe akawa nanaota ghafla akapiga kelele"Jifiche mume wangu kaja nagonga"Mwanamme aliposikia hiyo kelele akakurupuka na kurukadirishani na kugungua "Alaaa kumbe niko kwangu na nimelala na mke wangu"?
eeh but that was then now nimeenepa kidogo
mama matesha eeeeh!Pearl hiyo avatar yako ndo pichako?
mama matesha eeeeh!
Wote wana makosa
Subiri PM shortly!
Mila zidumishwe na watu wote!
Why Mpenda TZ?