Nani mwenye kula raha kama huyu BOSI!

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,020
690
Bosi mwenyewe ni mtoto wangu .

yahani anakula raha kweli kweli

akilia familia nzima tunatafutana

TV ikipasndishwa sauti nasikia kuwa 'Bosi' ataamka mara tusiongee sana bosi ataamka

akiamka usiku lazima mtafutane

anaishi kwa kubebwa,kubembelezwa na kila mtu

kwa kweli hizi raha anazokula bosi huyu sijui kama nami nilikula

Yeye umaskini kwake ni ndoto

i love my child !
 
Good for you! It is great to show love for your child. It seems he/she got you wrapped around the pinky finger. It's all worth it.
 
Watoto kweli ni a bundle of joy lakini duh sipati picha na lile litumbo. Bado kwanza
 
sisi wengine ule mtumbo ndio unatupandisha mzuka, mimi waifu akiwa na ule mtumbo, nakuwaga sishibi , nikila kwa kijiko na hata nikila kwa mkono. yaani ule mtumbo unakuwa unakoleza apetaiti yangu sana. sijui niko normal au nikaone daktari?

NB: hapa nimeongea kifasihi zaidi.
 
Kwa nini umuone dokta,hilo ni sawa hata mimi hivyo hivyo
mechi huwa tamu sana,timu yako inaweza kufunga hata mabao 7 kwa mechi moja
safi sana hiyo
 
Hahaha klorokwini bwana!

Uko mzima mkuu......na watu wa aina yako nasikia wapo wengi sana duniani:)

Mwanamke mwenyewe anajionaje na lile tumbo ndo paliponkamata mimi
 
Tehtehteee kumbe tuko wengi. Kwenye hiyo hali mashine huwa inaongezeka uvuguvugu na ndani yake kunakuwa na mvuto usioelezeka. Unaweza kujikuta unaunganisha mabao matatu bila ya time out.
 
Hahaha klorokwini bwana!

Uko mzima mkuu......na watu wa aina yako nasikia wapo wengi sana duniani:)

Mwanamke mwenyewe anajionaje na lile tumbo ndo paliponkamata mimi

ukibadilisha miondoko tu, utamatch na tumbo. achana na catwalk ukiwa na tumbo, weka chameleon walk, utashtukia madume ya soko la kariakoo wote wameacha shuhuli zao wanakuangalia wewe. kwani kipi kinamatter zaidi? ni how do you think of yourself or how do others think about you?
 
Muahaha@ chameleon walk

Kinachomatter ni how I think of myself with the tumbo. Mpaka sasa naona kinyume nyume.

Au ndo likija lile unalizowea naturally?
 
linazoeleka tu, halaf tumbo lenyewe ni temporari tu, baada ya miezi 9 unarejesha ka flat screen kako kama kawa. fanya fanya bana utuletee ka junior great thinker, huyu slaa , kikwete na lipumba wote wanatupotezea muda tu. tunategemea tumbo lako kuleta ukombozi lol
 
Tumbo oyeee! Kina mama mpooo?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom