Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,020
- 690
Bosi mwenyewe ni mtoto wangu .
yahani anakula raha kweli kweli
akilia familia nzima tunatafutana
TV ikipasndishwa sauti nasikia kuwa 'Bosi' ataamka mara tusiongee sana bosi ataamka
akiamka usiku lazima mtafutane
anaishi kwa kubebwa,kubembelezwa na kila mtu
kwa kweli hizi raha anazokula bosi huyu sijui kama nami nilikula
Yeye umaskini kwake ni ndoto
i love my child !