Nani mwenye jibu kwa maisha ya siasa za kesho?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,680
8,868
Baada ya matamko yote yaliyotolewa na serikali ni nani mwenye kujua nini kitafuatia baada ya miaka mitano??
  • Hakuna siasa za jukwaani (mikutano yote yakisiasa ni ndani) kwa vyama vya upinzani tu..
  • Hakuna kuandamana kwa aina yoyote ile.
  • Ni marufuku kuandika habari za uchochezi.
  • sheria ya mitandao imetamaraki.
  • Bunge hakuna kuonyeshwa live.
Je ninani anajua kesho kutamliwa nini?.
 
Kesho wabunge wote watakaoikosoa serikali wapelekwe lokapu
 
Back
Top Bottom