Nani Mwenye Haki ya Kututeulia Viongozi?

mwanamichakato

JF-Expert Member
Mar 20, 2015
887
705
Sipati jibu sahihi juu ya nani mwenye hati miliki ya Taifa la Tanzania

Nani mwenye uchungu wa dhati juu ya mabaya,udhalimu utendwao juu ya Tanzania?

Nani mwenye haki ya kupigania haki za wananchi wa Tanzania?

Nani mwenye nguvu,Mamlaka na uweza wa kuipeleka Tanzania apendako?

Nani mwenye kutuchagulia viongozi sahihi na wasio sahihi hapa Tanzania...Je,Ni vyama?Wenyeviti wa Vyama?Rais wa JMT? Wafadhili?Vyombo vya habari?NGO's?CBO's

Kweli Demokrasia ya vyama vingi kupitia chaguzi ndio chanzo cha msingi kupata viongozi?
 
Kuna jamaa alikuwa akiitwa Julius Kambarage Nyerer....ila alishafariki na kuiacha Tanzania
 
Swali lako la mwisho kwenye uzi wako ni la msingi mno,mno,mno.Laiti wanadamu au watanzania tungekuwa na ufahamu wa kutosha,usioghoshiwa,tungelitafakari kwa kina.Naamini kwa kufanya hivyo tungepata majibu ambayo kama tungeyatendea kazi,yangetuvusha na kutupeleka level nyingine.Lakini loh,hogojogo.

Back
Top Bottom