nani muoga zaidi?

mkalagale

Member
Sep 25, 2011
71
8
baba mmoja alikuwa amekaa na familia yake akamwambia mtoto wake mdogo we muoga sana kwa nini unaogopa kulala peke yako chumbani mtoto akajibu nahisi hii tabia nimerithi kwako kwa sababu mama akisafirigi wewe pia unaogopaga kulala peke yako unamchukuaga dada(housegirl)na kulala naye
 
ndiyo tatizo la kusema uongo kwa watoto. kwani nao wanaiga na mbaya zaidi mpaka wanawapita waanzilishi!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom