Nani Mtanzania ZAIDI? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani Mtanzania ZAIDI?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by falesy, Oct 28, 2012.

 1. f

  falesy Senior Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 15, 2006
  Messages: 105
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana JF!
  Kuna wigu unaingi machoni kwangu kuona kama kuna watu ni watanzania zaidi na wengine siyo!
  1. Ukihama chama wewe hufai
  2. Ukishinda uchaguzi, umetoa rushwa
  3. Ukiongea kuhusu imani yako unaleta udini
  4. Ukiwa chama fulani wewe hufai
  5. Vyama fulani ni vya udini!

  Swali langu ni tu rahisi, NANI MTANZANIA zaidi ya mwingine?
   
 2. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Is it a double flub?

   
 3. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mtanzania zaidi ni fisadi, maana fisadi akifanya yote hayo uliyoorodhesha anatukuzwa.Kwa hiyo ili kuwa Mtanzania zaidi na halisi inatakiwa uwe fisadi
   
Loading...