Nani MtaniJembe matoke ya leo Yanga SC TZS 93,562,500

Texas Tom.

JF-Expert Member
Jun 8, 2013
510
0
#‎NaniMtaniJembe‬
Matokeo mpaka kufikia leo saa 6 mchana ni:
Yanga SC TZS 93,562,500
Simba SC TZS 6,437,500

Bado siku 4 kufikia tamati ya shindano ya hili ambapo Disemba 21 mshindi atakabidhiwa kitita cha pesa alizoshinda.

Tuendelee kupiga kura kwa wingi ili mnyama atoke kapa siku ya mwisho.

Yanga "Daima Mbele Nyuma Mwiko"
 

nguvumali

JF-Expert Member
Sep 3, 2009
4,898
2,000
Nasikia manji anamwaga mamilioni ya kununulia bia watu wacheze mtani jembe
 

Box 2

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
505
250
Mwenye nacho huongezewa,asie nacho hata kile kidogo alichonacho hunyang'anywa.
 

Nakapanya

JF-Expert Member
May 22, 2012
2,094
2,000
tena nitafurahi Simba wakitoka na sifuri kabisa,ili zisije zikaishia mifukoni mwa walafi wa simba,Yanga kazaneni mlambe hayo mamilion mia moja yoteee
 

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
5,976
2,000
Hakuna mpenzi wa Simba anayefurahia uongozi wa mbabe wa kisomali ukifikiria na jinsi walivyotumika kule Singida na maccm.Kwa hiyo Simba kutoka nil inawezekana tu!Wapenzi hawana morali na timu yao

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
32,632
2,000
Wapenzi wengi wa simba ni waarabu wala tende na halua na sio bia.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 

Makoye Matale

JF-Expert Member
May 2, 2011
6,491
2,000
Wapenzi wengi wa simba ni waarabu wala tende na halua na sio bia.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

Rage, mutu ya watu ilisemaga Yanga ni wanywa kibuku na Simba ni wanywa bia, haya matokeo ya nathibitisha kuwa Null Hypothesis si sahihi.
 

Makoye Matale

JF-Expert Member
May 2, 2011
6,491
2,000
#‎NaniMtaniJembe‬
Matokeo mpaka kufikia leo saa 6 mchana ni:
Yanga SC TZS 93,562,500
Simba SC TZS 6,437,500

Bado siku 4 kufikia tamati ya shindano ya hili ambapo Disemba 21 mshindi atakabidhiwa kitita cha pesa alizoshinda.

Tuendelee kupiga kura kwa wingi ili mnyama atoke kapa siku ya mwisho.

Yanga "Daima Mbele Nyuma Mwiko"

Mwenye kidogo anyang'anywe hata hicho.
 

Baba Mkali

JF-Expert Member
Feb 9, 2011
811
1,000
Kudadeki, bahati mbaya sinywi kabisa pombe wala hata kumnunulia mtu (imani ya dini na msimamo binafsi). Nashindwa kuisaidia timu yangu Simba. Tumedhalilishwaje this time? Hata hivyo nimejiweka pembeni na mambo ya Simba hadi yule msomali ms***i aondoke. Namhisi kama moyoni mwake ni Yanga.
 

Aleyn

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
13,118
2,000
Kilimanjaro Premium Lager
Matokeo ya "Nani Mtani Jembe?"
jioni ya leo:
SIMBA - TZS 7,484,000.00
YANGA - TZS 92,518,400.00
51 minutes ago
52 · Like · 51 Comments · Share ·
More...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom