Nani msomi katika hii nchi na amelifanyia nini Taifa?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani msomi katika hii nchi na amelifanyia nini Taifa??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Safety last, Aug 1, 2011.

 1. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kumezuka dhana ya watu wenye elimu ya kawaida wakifanya mambo makubwa wanabezwa na kuitwa hawana shule nauliza nani anastahili kuitwa msomi, kwenye hii nchi !usomi ni elimu ya university tu??
   
 2. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Tujali ubunifu na uwezo binafsi wa kufanya kazi bila kujali aina ya shule aliyosoma mtu, wapo wengi waliosoma na hawajalifanyia lolote taifa hili masikini. Kama mchango wangu katika hili namfagilia Keenja kwa ubunifu na usimamizi wa uwepo wa ubungo terminal tunayoijua leo, is a big government investment kama kusingekuwa na wezi na pesa zote zinazopatikana pale ziende serikalini.
   
Loading...