Si ungemtaja huyo mbunge Humu . Sasa unaficha Ficha niniKuna shule flani kule arusha inanyanyasa sana walimu na hakuna wa kuwasemea. Waajiri wanatumia kukosekana kwa ajiri kunyanyasa walimu.
Hiyo shule ukiajiriwa tu unanyanganywa simu huruhusiwi kutumia kabisa, huruhusiwi kuingia na kitabu darasani, walimu wanavaa uniform kama wanafunzi, wanakula chakula cha ajabu yaani uji wa wanafunzi, walimu wanafanywa mazezeta kabisa.
Mmiliki wa hiyo shule ni mbunge lakini ananyanyasa sana wafanyakazi.
Vipindi vinaanzia saa kumi na moja alfajiri mpaka saaa mbili usiku mshara laki mbili.
Jamani waziri husika tembelea private schools jionee manyanyaso kwa walimu analau jaribu kuwatetea.
Shule inaitwa Nyahili memorial school iko arusha.
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app