Nani mmiliki?

suleyman100

Member
Jan 19, 2013
43
7
NANI HASA MMILIKI WA MWANAUME, MAMA YAKE AU MKEWE? Fuatilia mabishano haya:
MAMA: Mwanangu lazima aniheshimu mimi, alinyonya maziwa yangu takriban miaka miwili.
MKEWE: Mimi ni zaidi ya miaka mitano sasa ananyonya maziwa yangu na bado anaendelea kunyonya.
MAMA: Nilimbeba tumboni kwa miezi tisa.
MKEWE: Kipindi hicho alikuwa na kilo 3.5 tu,lakini mimi nambeba kila usiku angali na uzito wa kilo 85.
MAMA: Alipita katikati ya mapaja yangu!
MKEWE: Ha ha haa….!Wewe alipita mara moja tu, vipi kwangu mimi? Anakuwemo kwenye mapaja yangu kilasiku.

SASA HEBU NISAIDIE NANI HASA MMILIKI WA MWANAUME??????????????
 
Ni wewe........... teeh teeeeeeehh!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom