Juzi wafanyakazi waligoma kutaka wapewe bonus y mwisho mwaka.ilipelekea kuwaita media kitu iliyofanya management kucharuka na kupiga chini wote waliogoma ambao ni 201 kumbuka mwez uliopita walipunguza watu 618 hvyo jumla mpaka sasa ni 820.kampuni ya richland ya sauz ndo ilikuwa mmiliki wa kampuni hiyo kw 100% baadae serikali ilitaka 50% share hali ilipelekea kaburu aamue kuuza hisa zote kwa wazawa hussen gonga na feisal shabhai kwakuwa hawa jamaa ni mamesheni town walitafuta mtu wa kuchangia nao share ambao ni mhindi ridhiwan urlah khan raia wa hongkong ambae ndo anaendesha kampuni kwa pesa zake huku wazawa wakivuna kisanii.mbali na hapo stamico na tma wana share ya 50% hapo.ukitaka kujua zaidi uliza takujibu
Yupi unamaanisha?Huyo ndio nani tena mkuu??????
badala ya kuanza na kule Monduli ambako ndio karibu.?? utakuwa na matatizo au umetumwa.Msoga wana asilimia ngapi? Maana hili ni jipu kubwa vibaya mno
Hapo kwenye nyekundu "Takujibu"!!!Yupi unamaanisha?
Wazungu waliuza baada kupiga madini yote na kubakiza mashimo matupu ndio wakajiondoa taratibu, kipindi wanachimba walikuwa wakiwadanganya Wadanganyika kwamba kuna tanzanite ya kutosha miaka mingine sijui mingapi kumbe ilikuwa ni kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa huku wakijua wafanyalo. Walikuwa wanachimba madini kama vile ni mwisho wa dunia wanatifua miamba yote ardhini wakati hiyo miamba ndio karne zijazo zingegeuka kuwa tanzanite kwa vizazi vijavyo.Juzi wafanyakazi waligoma kutaka wapewe bonus y mwisho mwaka.ilipelekea kuwaita media kitu iliyofanya management kucharuka na kupiga chini wote waliogoma ambao ni 201 kumbuka mwez uliopita walipunguza watu 618 hvyo jumla mpaka sasa ni 820.kampuni ya richland ya sauz ndo ilikuwa mmiliki wa kampuni hiyo kw 100% baadae serikali ilitaka 50% share hali ilipelekea kaburu aamue kuuza hisa zote kwa wazawa hussen gonga na feisal shabhai kwakuwa hawa jamaa ni mamesheni town walitafuta mtu wa kuchangia nao share ambao ni mhindi ridhiwan urlah khan raia wa hongkong ambae ndo anaendesha kampuni kwa pesa zake huku wazawa wakivuna kisanii.mbali na hapo stamico na tma wana share ya 50% hapo.ukitaka kujua zaidi uliza takujibu
Mzee wa msoga ndiyo mwenye hiyo kitu.Tumeongea sana humuu nafikiri nawewe ukasome GAZETI LA
RAIA TANZANIA LA LEO UONE WALICHOANDIKA
Chalii yangu Tz haijaisha, iko ya kutosha ila mpaka kuifikia ni noma.Wazungu waliuza baada kupiga madini yote na kubakiza mashimo matupu ndio wakajiondoa taratibu, kipindi wanachimba walikuwa wakiwadanganya Wadanganyika kwamba kuna tanzanite ya kutosha miaka mingine sijui mingapi kumbe ilikuwa ni kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa huku wakijua wafanyalo. Walikuwa wanachimba madini kama vile ni mwisho wa dunia wanatifua miamba yote ardhini wakati hiyo miamba ndio karne zijazo zingegeuka kuwa tanzanite kwa vizazi vijavyo.
Sasa kama kuikifikia ni noma inatofautiana nini na kuisha, makaburu ni wajanja wamechukua za juu wakaingia mtini nyie mnaojidai wazawa ntaenda deep kama mchwa. Kuna mgodi wa green/ruby ulikuwaga hapo Longido, watu waliupiga hivyo hivyo kama miaka miwili hv wakaondoka wakawaachia maandaki na makatapila hapoChalii yangu Tz haijaisha, iko ya kutosha ila mpaka kuifikia ni noma.
Mzungu alienda deep mbaya sasa hawa waswahili walivyoona mzungu anapakua kila siku si ndiyo wakaingiza zwengwe mara muda wenu umeisha, mara serikali ile 50%, sijui stamico yaani vurugu mechi kila kona ndiyo wakaachia.
Kuachia ndiyo kama hivyo unavyoona hawawezi kupiga mgodi dizain ya mzungu, gharama ni kubwa haswa wamebakia kutengua nguzo akizoacha mzungu.