Wewe kama hutaki kumjua sisi tunatakaWhy,,why do you want to know??
wewe kama hutaki kumjua sisi tunataka
Du afadhali jibu limepatikana,anaitwa yaser naser ila kaamua kutumia jina la mwanae anaitwa sophia.
Mke wa mwinyi
Nasikia huyu jamaa anao wake watatu: ni yupi hasa unamsema hapo. Kuna dogo wa Muhimbili, kuna yule tall haiba ya kiarabu na fupi mmoja shrewed sana kibiashara ambaye nasikia kuhamia Arabuni kufuatia zahma moja ilompata Mbozi akitokea Rukwa kutafuta madini. Ni yupi hapo mmiliki wa Sophia House?