Nani mmiliki wa SOPHIA HOUSE?

wewe kama hutaki kumjua sisi tunataka

vyote ulivovijua vimesaidia kubadilisha nini zaid ya kukuzidishia hasira tuh??

Ndo vile tena,,

ccm ishaamua kutufanya tuwe "checheee chechee chechee tunapenda vitu vya cheee,tuwe tunapenda dezo dezoo,,,yatatushindaa,,

achana nayo,fanya kitu kingne tuh..
 
nilisikiaga humuhumu jf kuwa yana uhusiano na Rais mstaafu wa awamu ya pili kama sio yeye basi ni mke wake...jaribu ku google huo uzi naamini utaupata.!
 
anaitwa yaser naser ila kaamua kutumia jina la mwanae anaitwa sophia.
 
anaitwa yaser naser ila kaamua kutumia jina la mwanae anaitwa sophia.
Du afadhali jibu limepatikana,

Na mwingine asaidie je? ni Mlebanon au Mpakistani au Msomali au Mnyamwezi wa Zenj (m- Oman)
 
Mke wa mwinyi

Nasikia huyu jamaa anao wake watatu: ni yupi hasa unamsema hapo. Kuna dogo wa Muhimbili, kuna yule tall haiba ya kiarabu na fupi mmoja shrewed sana kibiashara ambaye nasikia kuhamia Arabuni kufuatia zahma moja ilompata Mbozi akitokea Rukwa kutafuta madini. Ni yupi hapo mmiliki wa Sophia House?
 
ila kweli manake huwa siyaelewi mjengo wake!kama lile pale opposite na VETA!lol
makuuubwa halafu sioni kinachondelea ndani zaidi ya kanga kuanikwa anikwa tu na visepe vya watoto!ahk!
 
Nasikia huyu jamaa anao wake watatu: ni yupi hasa unamsema hapo. Kuna dogo wa Muhimbili, kuna yule tall haiba ya kiarabu na fupi mmoja shrewed sana kibiashara ambaye nasikia kuhamia Arabuni kufuatia zahma moja ilompata Mbozi akitokea Rukwa kutafuta madini. Ni yupi hapo mmiliki wa Sophia House?

niliambiwa anaitwa SEAT,
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom