Nani mmiliki wa kagame hotel iliyopo Ubungo

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,887
Pale ubungo kuna hotel inaitwa Kagame hotel ni nani mmiliki wake?
 
Kwamba jamaa alijua ni ya Pk hivyo akamtoa wasi kabisa kuwa ilishauzwa kwa tajiri mwingine
 
Nililala hapo mara kadha,nikishuka stand ya ubungo.
Hata ufike usiku wa saa ngapi hukosi chumba pale.
Wageni watahamia stand mpya,Mbezi luis
 
Back
Top Bottom