Nani mkweli, nani mwongo?

RR

JF-Expert Member
Mar 17, 2007
6,966
2,019
Soma maongezi haya....

NN: Chochote atakachoongea Kibs ni uongo.
Kibs: Alichoongea NN ni kweli.

Kati ya NN na Kibs, nani mwongo na nani mkweli?
 
Soma maongezi haya....

NN: Chochote atakachoongea Kibs ni uongo.
Kibs: Alichoongea NN ni kweli.

Kati ya NN na Kibs, nani mwongo na nani mkweli?

NN na Kibs wote ni waongo! (If I still remember correctly my LOGIC sessions in Adv Maths!).
 
Soma maongezi haya....

NN: Chochote atakachoongea Kibs ni uongo.
Kibs: Alichoongea NN ni kweli.

Kati ya NN na Kibs, nani mwongo na nani mkweli?

Kwakuwa NN katwambia chochote atakachoongea Kibs ni uongo, na Kibs kasema alichoongea NN ni ukweli, basi hapo alichoongea Kibs ni uongo. Hivyo muongo hapo ni NN
 
Kwakuwa NN katwambia chochote atakachoongea Kibs ni uongo, na Kibs kasema alichoongea NN ni ukweli, basi hapo alichoongea Kibs ni uongo. Hivyo muongo hapo ni NN

Hapa kama NN ni mwongo, kwa maana kwamba Kibs kaongea ukweli.....then?
No mkuu.
 
Soma maongezi haya....

NN: Chochote atakachoongea Kibs ni uongo.
Kibs: Alichoongea NN ni kweli.

Kati ya NN na Kibs, nani mwongo na nani mkweli?

NN anatwambia chochote atakachoongea Kibs ni uongo(yaani hakuna ukweli atakachoongea Kibs) sasa Kibs anasema(uongo) Alichoongea NN ni kweli, yaani anatudanganya kwamba alichoongea NN ni kweli wakati si kweli.(huo ndio uongo wake Kibs. nafikiri nimeeleweka.

Sasa ushamjua muongo ni Kibs.
 
Kwa hivyo wote NN na Kibs ni waongo (hawajesema ukweli)!
 
sasa unabisha nini? uongo?
Hakuna mkweli kati yako = wote waongo
basi tuseme wote wamedanganya.

Sorry MQ, I thought you said Kibs!(see post #5 above). No worries, its supposed to be a joke afterall.
 
Soma maongezi haya....

NN: Chochote atakachoongea Kibs ni uongo.
Kibs: Alichoongea NN ni kweli.

Kati ya NN na Kibs, nani mwongo na nani mkweli?

Unanikumbusha kasheshe za GMAT

Kama Kibs ni muongo, basi NN ni muongo pia. Hizo sentensi zina direct relationship.
 
This is an endless loop

NN: Chochote atakachoongea Kibs ni uongo.
Kibs: Alichoongea NN ni kweli.

Let Chochote atakachoongea Kibs ni uongo = CAKNU and -CAKNU it's negation
Let Alichoongea NN ni kweli = ANNNK and -ANNNK it's negation

You get
NN:CAKNU
K:ANNNK (But whatever K says should be negated) so -ANNK

Which implies the original state to be
NN:-CAKNU
K:ANNNK (But whatever K says should be negated) so - - CAKNU = CAKNU

Which loops us back to the starting point, the loop repeats with no termination ad infinitum.
 
aah woote waongo haooo jaribuni kuwakopa muone,wanaua mpaka marafiki wakiwa na madeni.
 
Soma maongezi haya....

NN: Chochote atakachoongea Kibs ni uongo.
Kibs: Alichoongea NN ni kweli.

Kati ya NN na Kibs, nani mwongo na nani mkweli?

Hebu tuya "interchange" (sijui kiswahili chake) haya maneno mawili ukweli na uongo ili tuone tunawezaje kuelewa tofauti.

NN: Chochote atakachoongea Kibs ni ukweli.
Kibs: Alichoongea NN ni uongo.

Kati ya NN na Kibs, nani mkweli na nani muongo?
 
Soma maongezi haya....

NN: Chochote atakachoongea Kibs ni uongo.
Kibs: Alichoongea NN ni kweli.

Kati ya NN na Kibs, nani mwongo na nani mkweli?

Hapa hakuna jibu la moja kwa moja, kwa jinsi ninaitazama argument ktk angle niliyopo.

If NN ni mkweli itamfanya Kibs kuwa mwongo else NN akiwa mwongo itamfanya Kibs kuwa mkweli. Hii ikiwa na maana sentensi mbili za hawa wasanii haziwezi zote kuwa kweli kwa pamoja (inclusively). Hivyo basi inabidi uwe na info zaidi kuweza kujua nani mwongo.

Was'alam
 
Hebu tuya "interchange" (sijui kiswahili chake) haya maneno mawili ukweli na uongo ili tuone tunawezaje kuelewa tofauti.

NN: Chochote atakachoongea Kibs ni ukweli.
Kibs: Alichoongea NN ni uongo.

Kati ya NN na Kibs, nani mkweli na nani muongo?

Inafanana na ile ya mwanzo...ni kauli zinazopingana ilhali zinategemeana...
 
Back
Top Bottom