Ukiweza kubishana na serikali ujue ur right at least 95%
Tunachotaka ni maendeleo maana hatuoni faida yoyote ya hizo trillion zaoMh Zito alisema mapato ya Serikali yameshuka mpaka bilioni 600 kwa mwezi na TRA wametoa takwimu za miezi mitatu kuwa wamekusanya trillion 3.67 ambayo kwa wastani kila mwezi ni trillion 1.22
Sasa nani mkweli kati ya Mh Zito na TRA?
mkweli in zito TRA wamepika takwimu ndo maana wamekosea tarehe na jumla ya mapato.Mh Zito alisema mapato ya Serikali yameshuka mpaka bilioni 600 kwa mwezi na TRA wametoa takwimu za miezi mitatu kuwa wamekusanya trillion 3.67 ambayo kwa wastani kila mwezi ni trillion 1.22
Sasa nani mkweli kati ya Mh Zito na TRA?
TRA is the reliable source forget about Zitto he was tried to tease them to release a quarterly report.
Kama unakubali serikari imekopeshwa $500m hivi karibuni basi Zitto ndio muongo.