Uchaguzi 2020 Nani mkweli kati ya hawa watu? Spika, NEC au CHADEMA?

Kati ya wale wabunge 19 kuna mbunge mmoja alipigiwa simu na kiongozi mkubwa wa chadema na alimwambia wamepata nafasi 19 but watachaguliwa kwa kanda because viti ni vichache sana

Hiyo ilikuwa ni 2 weeks before sakata lote kutokea so maybe chadema walikubaliana kukubali au ni kweli walipeleka
Tutajuaje au tutaamini vipi kuwa haya madai yako ni ya kweli?
 
Ndio shida yenu chadema that's why mnafeli

Mnakuwa ni wazee wa ubishi Sana,
No, siyo ubishi!Sasa unataka nikubali kila kitu ambacho kila mtu anasema bila ya kuwepo kwa ushahidi?Unaelewa kuwa mambo mengi ambayo watu huongea ni porojo tu na wala siyo fact?

Kwa mfano Mimi nikikuambia kuwa aliefoji sahihi ya Mnyika kwenye zile fomu ni Magufuli,utakubaliana na mimi?Ndiyo maana ushahidi wa aongeacho mtu ni muhimu sana.Porojo na propaganda hazina nafasi katika mijadala!
 
Kati ya wale wabunge 19 kuna mbunge mmoja alipigiwa simu na kiongozi mkubwa wa chadema na alimwambia wamepata nafasi 19 but watachaguliwa kwa kanda because viti ni vichache sana

Hiyo ilikuwa ni 2 weeks before sakata lote kutokea so maybe chadema walikubaliana kukubali au ni kweli walipeleka
Ushaidi gani unao?
 
No, siyo ubishi!Sasa unataka nikubali kila kitu ambacho kila mtu anasema bila ya kuwepo kwa ushahidi?Unaelewa kuwa mambo mengi ambayo watu huongea ni porojo tu na wala siyo fact?Kwa mfano Mimi nikikuambia kuwa aliefoji sahihi ya Mnyika kwenye zile fomu ni Magufuli,utakubaliana na mimi?Ndiyo maana ushahidi wa aongeacho mtu ni muhimu sana.Porojo na propaganda hazina nafasi katika mijadala!
Mnyika amekupa ushahidi gani kuwa hakupeleka majina?
 
Unaweza kuthibitisha kuwa alionyesha copy?Tofauti na hapo tunapiga porojo!
Ndio maana nikasema wat if,
Coz zile form lazima utoe copy so na ww usimwamini Mnyika coz maybe alituonesha blank copy wakati original alishajaza na kuzituma
 
Ndio maana nikasema wat if,
Coz zile form lazima utoe copy so na ww usimwamini Mnyika coz maybe alituonesha blank copy wakati original alishajaza na kuzituma
Unataka kutuma ujumbe gani?Kwamba akina Mdee ni wabunge halali?
 
Chadema wanasema hawakupeleka majina NEC,nani alipeleka?

NEC wanasema Mnyika kama katibu mkuu aliwapelekea majina tena yaliyopewa baraka na kamati kuu ya Chadema. Hii ni kweli au sio kweli?

Spika anadai hawezi kuvua ubunge wabunge ambao kwa mujibu wa katiba ya JMT sasa hivi hawana chama maana walishatimuliwa Chadema. Kisa tu NEC ya Wilson Mahera ilimpa majina. Ok kama NEC ilimpa majina bado wanasifa za kuwa wabunge kama ibara ya 67(b) na 71(e) inavyoweka wazi?

Au ndio kusema undavaundava tu hata kwenye mambo ya kuzingagia Katiba na sheria?

Chadema wanaweza kuupa ukweli umma wa watanzania ili tujue nani alipeleka majina? Nahisi kuna jinai inanukia, kama haipo kuna mtu mkubwa Cdm mpenda dili anahusika,Tanzania nzima inamfahamu.
Awamu ya 5 hakuna kufuata KATIBA Mkuu!! Ukiangalia tu ngoma invyochezwa unajua kabisa COVID19 wana baraka kutoka "JUU" na pia baraka za "MAFEDHA" na MKUU NDUGAI.
 
Unataka kutuma ujumbe gani?Kwamba akina Mdee ni wabunge halali?
Absolutely yes
Wanaweza wasiwe halali kwa majina yao sio ambayo yaliopelekwa na chadema

Ni kama ww uweke Jina la watoto wako then wakaenda watoto wa mdogo wako but lengo la kukubali ubunge lilishapitishwa
 
Nadhani CHADEMA wanapaswa kuiandikia NEC barua kuijulisha kwamba hao wabunge wamepoteza sifa za kuendelea kuwa wabunge sababu wamefukuzwa chama.

Halafu NEC ndio walijulishe bunge.
Kama hivi?
1607498865486.png
 
Absolutely yes
Wanaweza wasiwe halali kwa majina yao sio ambayo yaliopelekwa na chadema

Ni kama ww uweke Jina la watoto wako then wakaenda watoto wa mdogo wako but lengo la kukubali ubunge lilishapitishwa
Chadema walishasema kuwa hawatambui uchaguzi na chochote kitokanacho na uchaguzi huo.
 
Back
Top Bottom