Nani mkweli January Makamba au Mizengo Pinda? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani mkweli January Makamba au Mizengo Pinda?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by CPA, Jun 17, 2011.

 1. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 738
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  January makamba alisema swala la kufuta posho ni la mpango wa serikali na hata ccm wameshafuta posho za vikao, jana pinda kasema swala la kufuta posho haliwezekan hata posho zenyewe ni ndogo. Sasa nan mkweli makamba ambaye anasema mpango wa kufuta posho upo ndan wa mkakati wa serikali au w/mkuu ambaye ndie mtendaji mkuu wa serikali.
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kauli ya waziri mkuu ni ya serikali na kauli ya makamba ni ya ccm.
  Kama kawaida magamba ni waropokaji!
   
 3. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  mtoto wa mkulima mda wake uishe aondoke tu, hamna kitu pale bendera fata upepo.
   
 4. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nafikiri hamna msemaji wa chama yeyote anamwaga maneno hadharani.....mtoto wa mkulima ni mtazamo wake tu.
   
 5. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,078
  Trophy Points: 280
  Pinda c mtoto wa mkulima tena! labda kama ni mtoto wa mkulima wa kizungu! ametugeuka.
   
 6. Shenkalwa

  Shenkalwa JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 580
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapo ndipo unapoona nchi hii inakoelekea. Ee Mungu tuhurumie watu wako. Amen. Kama hivyo ndivyo asemavyo waziri mkuu basi tumekwisha. Mimi nilifikiri katika suala hili la posho kwa vile lina kila ukweli ulioelezwa kwamba ni wizi wa mchana pengine ccm na serikali yao wangepata kitu cha kujifunza na kujivua gamba hilo wakakubaliana na hoja na kurekebisha mambo. Sasa hatuelewi maana wanaongea hovyo hovyo tu mara hoja ya kuondoa posho ni ya serikali, mara hoja ni ya ccm, hao hao wanasema posho wala haitoshi iongezwe. Sasa tuelewe lipi?? Najua wameona hoja ni ya msingi ila kwa kuwa imetoka upinzani basi haifai lakini wataumbuka. Sikio la kufa halisikii dawa
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Magamba yako kazini.
   
 8. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  siku zote kauli ya waziri mkuu ndio kauli ya serikali kwanini yeye ndio kiongozi wa Serikali Bungeni.
   
 9. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  mi wakati namsikiliza kidogo nidondoke kwa presha manake nlikuwa nimesimama....mkulima huyu bepari haswaaaa.
   
 10. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,924
  Likes Received: 633
  Trophy Points: 280
  Bora hata Lowasa asingejiuzulu.
   
 11. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mara millioni heli Lowassa alikuwa fisadi mzalendo kuliko Pinda mkulima kibaraka natupindishia moyo wa uzalendo!
   
 12. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Kilicho mponza Lowasa ni tamaa kubwa Ila pinda kilaza kama mkuu wake,
  na ndo maana Lowasa alimfunika Mkwele wakati Pinda anapinda tuuu!
   
 13. W

  Wisson Member

  #13
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Jana nilichoka kabisa. Yaani Waziri Mkuu anasema hela za posho za wabunge sehemu kubwa huwapa watu (omba omba) wanaowabana wakitoka nje ya ukumbi wa bunge!!!! alafu baadhi ya wabunge wanapiga makofi kumpongeza. Kwahiyo serikali na Bunge zinapromote ajira ya omba omba!!? eti nyingine mbunge akifika jimboni anaombwa hela na wapiga kura wake!! Nadhani alisahau kusema Wabunge wanatoa SADAKA kubwa misikitini na makanisani!!!! Hivi watu wote tunaombwa hela na walemavu na hata watu wenye viungo vyote kamili huko mitaani, kwenye mabaaa, madukani, nk na kuwapatia watu hao tunapewa posho za kufanya hivyo??!! Kwanini Wabunge tu ndo wawezeshwe kufanya tendo hili la kiungwana/kibinadam??!!! Ni kweli huwa wanawasaidia hao wanaowaomba??!!

  Kwa kweli nimeumia sana na majibu ya hivyo yanaonesha ni jinsi gani itatuchukua miaka mingi ili tuendeleee. Na kwakweli nimemdelete kabisa Mh. Mizengo Kayanza Peter Pinda kwenye kundi la watu ambao wana mawazo mapana ya kutuwezesha tutoke sehem moja kwenda nyingine katika kutafuta maendeleo endelevu ya nchi hiii. Kwanzia leo namuaona ni mtu wa kawaida sana sana anaechukulia mambo kiurahisirahisi na asiyejali na kufikiria namna ya kumaliza matatizo yanayoisibu nchi hiii.

  Niliwai kushiriki debate enzi zangu za nikiwa shule iliyokuwa ina challenge izi compasion centres and NGOs. Tuliconclude kumpa mtu elfu moja au kumi sio suluhisho la kudumu la kumtoa mtu huyo kwenye matatizo. Ni bora ukajua tatizo la mtu huyo na kupanga namna ya kushirikiana nae ili kumfanya uyo mtu aweze kutengeneza elfu moja au kumi ya kwake mwenyewe. kumpa ni kumfanya awe mtumwa wako kwamba aendelee kukupigia magoti kila siku kama vile wewe ndo MUNGU wake unayempa kudra ya kila siku. si kuna usemi unaomaanisha badala ya kumpa maskini samaki wa kula siku moja mfundishe na muwezeshe aweze kuvua samaki yeye mwenyewe??!! Provided the fishes are there in a lake/river/ocean!! Hata huu msemo Mh. Pinda haufaham??!!

  Kazi tunayo wandugu.
   
 14. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,377
  Likes Received: 3,140
  Trophy Points: 280
  Ccm na serikali yake wooooote mapoyoyo tuuuuu..................
   
 15. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #15
  Jun 17, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Pinda alisema ni mtoto wa mkulima, lakini mkulima wa wapi?
   
 16. regam

  regam JF-Expert Member

  #16
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 268
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jamani kwani kuwa mtoto wa mkulima kuna maanisha kuwa mtoto wa fukara? Labda hatukumwelewa!
   
 17. t

  tambarare Senior Member

  #17
  Jun 18, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pindaaaaaaaaaaaaa kichwa kibovuuuuuuuuuu fungusssssss nini na wewe?????????????????????????
   
 18. fige

  fige JF-Expert Member

  #18
  Jun 18, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mizengwe Kaianza Pita Pinda,
  Hatimaye tutaelewa maana ya jina hili, maana hii ni sentensi sio jina la hivihivi tu.
   
 19. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #19
  Jun 18, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Lowasa atakumbukwa sana, kweli tulikuwa na Waziri Mkuu. Namkumbuka alipotembela barabara ya shekilango na akatoa agizo ijengwe haraka sana, na ikajengwa. Namkumbuka kwa shule za kata, hata kama hazina ubora ule unaotakiwa. Namkumbuka alikuwa hasemi nashauri wala kulalamika, alikuwa mtoa maagizo. Pamoja na kashfa zote, bado anasimama kuwa Waziri Mkuu bora aliyewahi kutokea katika awamu za pili, tatu na nne.

  Mimi naamini Kashfa hizo alizopata, ni za CCM nzima na Serikali yote.
   
Loading...