Kiseniority utaratibu ni kuwaWakuu hope mko poa
Naomba kuuliza ni nani, Ni mkubwa, lakini pia nani anajua Siri nyingi, lakini pia nani yupo karibu mno na raisi Kati ya mkuu wa majeshi(CDF) na mkurugenzi wa usalama wa taifa(DGIS)
Karibu mtujuze mnaojua
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂Enzi za utoto ilikua utata kama huu unamalizwa kwa wahusika kupanda ulingoni kuzichapa na mshindi ndiye mkubwa.
Jeshi bila unoko mambo hayaendiMkuu wa majeshi CDF ndio mkuu kwa wote.
DG TISS amezidiwa cheo hata na IGP.
Anachafaidi DG TISS ni kuwa chawa wa rais a.k.a mnoko, mchomeaji wenzie.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Seconded!Jeshini kwenyewe kuna watu wa tiss, tiss ni serikali ndani ya serikali.
The one who control infomation controls everything.
mmm, mbona kila mtu anajibu lakeJeshini kwenyewe kuna watu wa tiss, tiss ni serikali ndani ya serikali.
The one who control infomation controls everything.
Mbona Mara nyingi meko alikuwa anasafiri na DiwaniMmoja anaitwa Mkurugenzi wa usalama mwingine anaitwa mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama.
Unafikiri Nani mkubwa? Uliwahi kuona Rais akimbatana DGIS kwenye hafla yeyote rasmi mfano ukaguzi wa gwaride.... Na mengine.
Bettle na Scania yote ni magari Yana kazi tofauti lakini mmoja linawwza kumbeba mwingine Ila mbebwaji hawezi kumbeba mwengine
Siro na diwani Nani mkubwaMkuu wa majeshi CDF ndio mkuu kwa wote.
DG TISS amezidiwa cheo hata na IGP.
Anachafaidi DG TISS ni kuwa chawa wa rais a.k.a mnoko, mchomeaji wenzie.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Sio kweli, mmoja Ni Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa na mwingine Ni Mkuu wa majeshi ya Ulinzi.Mmoja anaitwa Mkurugenzi wa usalama mwingine anaitwa mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama.