Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

CDF mkubwa lakini DG ushushu na unoko vinamfanya kuogopwa na CDF.
IKO HIVI... Mkuu wa majeshi, ispekta jenerali wa polisi, inspekta wa magereza, uhamiaji, mkurugenzi tiss.
 
Kwa majumuisho inaonesha mwenye kisu hula nyama kubwa.na hapa aliyekaribu na raisi huyu ndo mwana.japo kwa itifaki jeshi wako juu I'll hawana kisu Wala meno Kama usalama.
 
Mkuu wa majeshi anaonekana uwepo wake...na mapana ya ukuu wake...

Ila DG..yeye haexist ...ndio maana anafunikwa na hao wengine..lkn ilivyo Ti ana monitor shughuli zote za hao mpaka raisi ambaye Amiri jeshi mkuu...na hata kupanga nani awe nani wanapanga wao

Mkubwa ni Amiri jeshi mkuu hapo...
 
Sio kweli, mmoja Ni Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa na mwingine Ni Mkuu wa majeshi ya Ulinzi.
Vyombo vya Usalama vina wakuu wao lakini ukifuata Protocol hao wengine hawana cheo Cha General ndio maana wengine Ni makamishina huku Ni mabrigedia nk.
Hivyo inapelekea yeye kuwa wakwanza kimadaraka lakini sio kwamba anawaongoza kimajukumu.
Sio kweli.Mabeyo ni mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama! IGP sio General ila ni Inspector General! General ni mmoja tu
 
Sio kweli.Mabeyo ni mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama! IGP sio General ila ni Inspector General! General ni mmoja tu
Hatuna Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama ila tuna Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (CDF)..
 
Back
Top Bottom