Nani mkali zaidi

Ni namna tu mwandishi anavyomchezesha kwenye andiko. Ila nikiona story Ina Amata, naenjoy sana
 
Kuna utofauti wa nyakati walixoandika riwaya zao.

Kwa wakati ule Musiba kwangu ni kinara wao,

Kwa wakati huu mchuano upo kwa Richard Mwambe(Kamanda Amata) na Patrick CK ( Mathew Mulumbi)
 
Kamanda amata, ni moto wa kuotea mbali. Napenda ile combination yake na chiba(mzee wa IT), scoba(bwana usafiri), gina(reserved weapon, muke ya kamanda) na jasmine(dokta), bila kumsahau madam S(bibi asiyezeeka).
Matumiz ya code mbalimbali kama 'mama anaumwa' au 'njoo shamba' yananikosha sana, vitu kama hivi ndio vinamtofautisha Mwamba Richard na waandishi wengine.
NAAMINI RICHARD S MWAMBE NDIO MWANDISHI BORA SANA WA RIWAYA ZA KIJASUSI ZA 'KIZAZI HIKI'.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom