Nani Mkali wa Voice Over?

Twendeni mbele turudi nyuma...kibonde alikuwa ni hatari.... alikuwa anaweza akabadilika kulingana na Aina ja jingle... mfano atangaze jingle ya football au ya boxing au za pale pale clouds....mfano Ile ya "zilizo Kiki"
Mungu akurehemu kibonde mashabiki zako tunaendelea kukumiss
RIP uncle Kibs
 
R I P Kibonde, alikuwa mtu mbaya sana nayeye hasa kwenye boxing, mfn.... kaiiiiikeeee booooxing promotion
 
1:ML Chriss
2:Emphraim Kibonde.
3:Antonio Nugaz
4:Gadner
5:Mussa Hussein,Askofu Tza pia ana sauti iko yente sana pamoja na Mtozi mwanagenzi'Mwihava'kwa matangazo yaliyotulia..John Jackson'Msanuaji'pia..
Japo upande wa Jingles,Sweepers,Signtunes,Interprograms,Drops,Bambers,Teezers,ML Chriss hana mpinzani"88.1 Clouds FM Arusha","Xtra Xtra Laaargee","Inalipa kusikiliza Powerbreakfast","Bado tunaendelea kuzimomotoa ngoma kali20","Tunakufungulia dunia kuwa unachotaka","Mbili Tano tano",,huyu ML Chriss sijui ni Patrick?ni nouma sana Pale Mawingu.
 
Dozen na mchomvu walikuwa wako vzr ila nashangaa now days hawafanyi,Kenedy anajitahid ila saut yake siyo rafiki kabisa.
Kuna matangazo hayaitaji mtu mwenye vocal kali..hayo ndo yanayomfaa..analack vocal punch,au umemaanisha nini kusema sauti yake sio rafiki?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom