Ukizungumzia kizazi cha tano cha muziki wa kongo uwezi kuacha kuwazungumzia vijana japo kila mmoja ana ubora wake fally anatisha kwa kutawala jukwaa na kuimba vile japo felle anatsha kwa kuimba lakini bado kuteka jukwaakwa mauno fally hana mpinzani,kwa sauti ferre ni habari nyingine,sikiliza ile vitaimana si mchezo.
Ktk rumba Ferre ametisha coz alipitia chuo cha music (wenge musica) ila kwa sebene Fally anajitahidi.
Kwa wale wapenzi wa Music especially wa Congo nipe vote yako kati ya hao wadau wawili
Kwa wale wapenzi wa Music especially wa Congo nipe vote yako kati ya hao wadau wawili
Asante mkuuuFere gola noma sana hebu acha vita imana sikuliza 100 kilo...wee acha kabisaaa