Nani Mkali wa Rumba? Kati ya Ferre Gola na Fally Ipupa

Mpapatu

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
221
117
Kwa wale wapenzi wa Music especially wa Congo nipe vote yako kati ya hao wadau wawili
 
kwa mauno fally hana mpinzani,kwa sauti ferre ni habari nyingine,sikiliza ile vitaimana si mchezo.
Ukizungumzia kizazi cha tano cha muziki wa kongo uwezi kuacha kuwazungumzia vijana japo kila mmoja ana ubora wake fally anatisha kwa kutawala jukwaa na kuimba vile japo felle anatsha kwa kuimba lakini bado kuteka jukwaa
 
Kwamimi nafahamu kwa Sebene na Sauti ya Hatari Ferre Chante ni habar nyingine kama baba yake Werrason ila kwa Jukwaa na Kupanga na kuandaa vijawa wake wa kaZi Fally Ipupa ni Bad News
 
Herve gola ni mkali kwa rhumba.hebu sikiliza nyimbo 3eme doigt,maboko pamba,vita imana,100 kilos,eyindaka mabe utamuelewa
 
Back
Top Bottom