Nani mkali Sean Paul vs Shaggy?

Mzk unaathiriwa na mambo mengi sn, soko, Production, na time. Mf. Mzk ss una pesa, so uwezekano wa mwanamzk kufanya audio au video ya kiwango cha juu ni mkubwa hata km hakuna chamaana anachokiimba.
Haya ni wanamzk wangapi ss hv Wanatengenezewa mzk na Pfunk au Master Jay? Hadhira iliyopo sasa hawawez sikiliza fleva za miaka ile af ukashindanisha na ya sasa kinakua kittuko
Unaweza kuwa sahihi....

Kama prof J anaimba na bado anaendelea kuimba kwanini tusimlinganishe na Roma?

Au hata kama haimbi kwasasa lakini wameishi kwenye mziki wote wakiwa kwenye mziki kwa miaka 4 au zaidi.

Ilimradi genre ziwe zinafanana..... kwanini nasema hivi kuna watu walifanya mziki mkubwa 70s wa genre fulani na hadi leo unaishi hakuna wa genre hiyo aliyeweza kuvunja record na ukiskia tracks ni sawa zimetoka jana.
 
Mziki unaendana na nyakati, kwakua watu wanapita katika maisha, mzk nao
unapita. Mzk huangalia soko na watu waliopo nyakati hizo, pia hutegemea sn na technolojia ya wakati huo mf. vyombo vya mziki, mavazi, production nk. Mf. huwez kumshindanisha prof jay na Roma, ila unaweza mshindanisha na afande sele na solothang. Roma unaweza mshindanisha na Darasa, Stamina nk. Unaweza mshindanisha 2pac,Big,snoop nk lkn co snoop na lilwyne. Mzk hubadilika km thamani ya pesa. mf. Elf10 ya enzi za mkapa co sawa na elf10
ya leo. Mziki aliofanya Marijani, sio aliofanya Manet pia tofauti na alioufanya Moshi na tofauti anavyofanya sasa Diamond au Kiba.
Kwahiyo kila mtu amewika Kwa nyakati yake..
 
Nimekutana na kaubishi jioni hii .
vijana watatu wakibishania Mkali wa Jamaica katika miondoko Ya Dance Kali Kali inayochanganya na reggae .

Mi sikuwaingilia kwasababu pale Jamaica Bangi nyingi sana kama Arusha tu.

Ila kiukweli hawa jamaa wana mziki unaofanana nao niwapinzani ninavyosikia kama MONDI Vs Kiba.

Nakiukweli Kwa wazee wa kuruka viwanjani zikipigwa nyimbo za hawa jamaa huwa lazima watu wanataftana Akina Dada viuno unavikuta chini..

Ila supporter wa Sean Paul alikuwa mwenyewe lakini alionesha kuujua muziki.
Huku napo naamini wapo mashabiki wao .
Mseme nani Mkali?
9c6708c6ec0f7b843c86dc22dd64955d.jpg
aff6112513fd285a73eb8bc69613a739.jpg
Binafsi nampenda saaaaaaana shaggy ila napenda nyimbo nyiiingi za sean paul kama vile got to love you,how deep is your love?,she doent mind,temprature,baby boy na nyingine nzur ninazozipenda
 
shaggy nimsanii mkubwa naanayeza mnooo naheshimu uwezo wake..
ila kwa Sean Paul...apite Hivi aiseeeee
Sean Paul in uranium ileeee Jamaa anahit song kibao hajawahi kupotea ktk ramani mfano mwaka huu tu ndiye msanii aliyefnya vyema zaid ktk upnde wa dancehall wakat shaggy huu nimwaka wa3 sasa hkuna kitu kipya ambcho nihit nilichokiskia toka kwake.....
msisahau ile ngoma ya clean bandit aliyompa shavu sean paul.....
jamaa nibalaa mwanzoni mwa 2000 alipewa collabo beyonce na akachangia kumuweka bimdada ktk ramani ya music ktk kibao cha baby boy..
tusisahu kuhusu wimbo wa Estele pia ...
 
Huo msala wa Temperature club balaa balaa hio everblazing dah Sean anaweza sana
 
Ni ngumu kuingia club bila kusikia ngoma ya Sean Paul ila rahisi sana kutomsikia Shaggy hata mwaka mzima.Yaani ngoma kama.Ever blazing,temperature ,give it to me ,Got 2 love u ,hold my hand,nk hazichuji kabisa wala hazichoshi kusikiliza.
We utakua mhenga mwenzanguu tuu mana track kalii hataree...km everblazing...nomaa
 
Yaani wewe umenifanya miguu kiuno na mabega vianze ku vibrate......
Daaah wote Nawapenda sanaaaa tena niliwapenda kiasi cha kutaka wawe lovers wangu.... (in my dreams)

Nikicheza nyimbo zao lazima huko chini kupwite bin kunyemvuka bin nyege kupanda daaah nakuwaga na mzuka hatariii.

I love dancing to the fullest......

Wananiiita popo nakesha nakula ujana..... woyoowoooo

Kasie Matata aka Kasindeee.
Hahahahahhaha. Nimekupenda bure lol
 
Niwakumbushie wahengaa kuna nyimbo zetuu zilee hazichujii Tempted to Touch-Rupee,GAsolina -Daddy Yankee Rkelly-Burn it up na Kevin Lytle-Turn me on...hzii nmezichezaa sanaa wallah
Kuna nyimbo hata za Ckuiz cha mtoto
 
Ni ngumu kuingia club bila kusikia ngoma ya Sean Paul ila rahisi sana kutomsikia Shaggy hata mwaka mzima.Yaani ngoma kama.Ever blazing,temperature ,give it to me ,Got 2 love u ,hold my hand,nk hazichuji kabisa wala hazichoshi kusikiliza.
Ever blazing!
 
Niwakumbushie wahengaa kuna nyimbo zetuu zilee hazichujii Tempted to Touch-Rupee,GAsolina -Daddy Yankee Rkelly-Burn it up na Kevin Lytle-Turn me on...hzii nmezichezaa sanaa wallah
Kuna nyimbo hata za Ckuiz cha mtoto
Kweli nyimbo za wahenga sio mchezo
 
Kwahiyo kila mtu amewika Kwa nyakati yake..
Ndio hvyo mkuu, yaan ukimshindanisha wa zaman na wa karibuni, humtendei haki wa zaman kwan fanbase yake inakua imepungua maana wengine wanaweza kuwa walitangulia mbele haki af hadhira iliyopo
kwa wakati huu inaweza ikawa haija mfuatilia vya kuvyahkutosha msanii wa zamani, pia kutokana chnotechnolojia wasivutiwe na mzk wa wkt ule. Sean Paul ameibuka kpnd Dancehall juu, wkt Shaggy aliibuka wkt Ragga mufin inatesa
Kwahiyo kila mtu amewika Kwa nyakati yake..
 
Ndio hvyo mkuu, yaan ukimshindanisha af inakua na wa karibuni, humtendei haki wa zaman kwan fanbase yake inakua imepungua maana wengine wanaweza kuwa walitangulia mbele haki af hadhira iliyopo
kwa wakati huu inawezinaweza ikawamfuatilia vya kuvyahkutoshaimsaniimwaizamanitokakutokanachnotechnolojiakati wasivutiwe na mzk wa wkt ule. Sean Paul ameibuka kpnd Dancehall juu, wkt Shaggy aliibuka wkt Ragga mufin inatesa
Mziki mzuri unaishi siku hadi siku leo hata tukimlinganisha Bob na senzo. Bob ni mkali tu.

shaggy alifanya vizuri ila Sean kamzidi..huyu jamaa ni viungo adimu kwenye mziki.
 
Mziki mz?unaishi siku hadi siku leo hata tukimlinganisha Bob na senzo. Bob ni mkali tu.

shaggy alifanya vizuri ila Sean kamzidi..huyu jamaa ni viungo adimu kwenye mziki.
Senzo ndo kifaa gani? Ukiambiwa utaje wanamzk waliowah kufanya reggae hata 10 Senzo atakuwemo au huijui reggae? Mzk utavoupokea ww ucdhani dunia nzima ipo hvyo. Ukishindanisha Lucky Dube na Joseph Hill kwa S.A au Tz lazma atashinda Lucky, je unadhani kwingine kote duniani ni hivyo? Unadhani Jamaica kwenyewe wanauelewa mzk aliokua anaufanya Lucky Dube? Hata hao akina shagy na Sean hawana nafasi kwenye Dancehall Jamaica. Mzk haupo hvyo ndugu zangu.
 
Senzo ndo kifaa gani? Ukiambiwa utaje wanamzk waliowah kufanya reggae hata 10 Senzo atakuwemo au huijui reggae? Mzk utavoupokea ww ucdhani dunia nzima ipo hvyo. Ukishindanisha Lucky Dube na Joseph Hill kwa S.A au Tz lazma atashinda Lucky, je unadhani kwingine kote duniani ni hivyo? Unadhani Jamaica kwenyewe wanauelewa mzk aliokua anaufanya Lucky Dube? Hata hao akina shagy na Sean hawana nafasi kwenye Dancehall Jamaica. Mzk haupo hvyo ndugu zangu.
Nimekupa mfano mdogo ili ujue mziki unaishi mkuu. Sijajua unabisha nini mpaka sasa.

Shaggy ni mzuri ila career yake ya mziki bado haijakwenda kama ya sean... Sean Dunia inamtambua zaidi.. angalia nominations, angalia tuzo, collabo.. na kwa taarifa zako hawa jamaa mziki wao unaendana mmoja alistaahili kufunikwa na Shaggy ndicho kilichomtokea.

Sean ni vile viungo adimu vya mziki ukiviweka popote kwenye genre yoyote anaenda na track inakua Hit song.

Angalia mifano.
1. Ovaload
2. Lay you down easy
3. Rackabye
4.come on to me
5. Kuna track moja ilivuma yupo na keyshia.
6.baby boy na beyonce.

Sean ni moja ya wasanii wenye collabo nyingi duniani na collabo haupewi tu.
 
Senzo ndo kifaa gani? Ukiambiwa utaje wanamzk waliowah kufanya reggae hata 10 Senzo atakuwemo au huijui reggae? Mzk utavoupokea ww ucdhani dunia nzima ipo hvyo. Ukishindanisha Lucky Dube na Joseph Hill kwa S.A au Tz lazma atashinda Lucky, je unadhani kwingine kote duniani ni hivyo? Unadhani Jamaica kwenyewe wanauelewa mzk aliokua anaufanya Lucky Dube? Hata hao akina shagy na Sean hawana nafasi kwenye Dancehall Jamaica. Mzk haupo hvyo ndugu zangu.
Sean Paul Awards and nominations

American Music Awards
2006

Won American Music Award category Favorite Pop/Rock Male Artist

2003

Got nomination for American Music Award category Favorite Rap/Hip-Hop Male Artist

2003

Got nomination for American Music Award category Favorite Rap/Hip-Hop Album for "Dutty Rock"

ASCAP Rhythm & Soul Music Awards
2007

Won ASCAP Rhythm & Soul Music Award category Reggae Artist of the Year

2005

Won ASCAP Rhythm & Soul Music Award category Top Reggae Artist of the Year

Billboard Music Awards
2017

Got nomination for Billboard Music Award category Top Collaboration for "Cheap Thrills"

2006

Got nomination for Billboard Music Award category Male Artist of the Year

2006

Got nomination for Billboard Music Award category Hot 100 Single of the Year for "Temperature"

2006

Got nomination for Billboard Music Award category Pop Single of the Year for "Temperature"

2006

Got nomination for Billboard Music Award category Rap Artist of the Year

Grammy Awards
2015

Got nomination for Grammy Award category Best Reggae Album for "Full Frequency"

2013

Got nomination for Grammy Award category Best Reggae Album for "Tomahawk Technique"

2010

Got nomination for Grammy Award category Best Reggae Album for "Imperial Blaze"

2006

Got nomination for Grammy Award category Best Reggae Album for "The Trinity"

2004

Won Grammy Award category Best Reggae Album for "Dutty Rock"

2004

Got nomination for Grammy Award category Best Rap Solo Performance - Male for "Get Busy"

2004

Got nomination for Grammy Award category Best New Artist

International Reggae and World Music Awards
2005

Won International Reggae and World Music Special Community Award
shared with Wyclef; Malachi Smith; Beenie Man
2004

Won International Reggae and World Music Bob Marley Award category Entertainer of the Year

MOBO Awards
2012

Won MOBO Award category Best Reggae Act

2009

Won MOBO Award category Best Reggae

2006

Won MOBO Award category Best Reggae

2005

Got nomination for MOBO Award category Best Reggae Act

MTV Europe Awards
2003

Won MTV Europe Award category Best New Act of the Year

MTV Europe Music Awards
2012

Got nomination for MTV Europe Music Award category Best World Stage

2006

Got nomination for MTV Europe Music Award category Best Male

2006

Got nomination for MTV Europe Music Award category Best Hip-hop

MTV Video Music Awards
2006

Got nomination for MTV Video Music Award category Best Dance Video for "Temperature"

2003

Got nomination for MTV Video Music Award category Best Dance Video for "Get Busy"

2003

Got nomination for MTV Video Music Award category Best New Artist

MTV Video Music Awards Japan
2013

Got nomination for MTV Video Music Award category Best Reggae Video for "Dream Girl"
shared with lecca
2007

Got nomination for MTV Video Music Award Japan category Best Reggae Video for "Temperature"

2006

Got nomination for MTV Video Music Award Japan category Best Reggae Video for "We Be Burnin'"

MuchMusic Awards
2003

Won MuchMusic Award category Best International Video for "Gimme the Light"

MuchMusic Video Awards
2006

Got nomination for MuchMusic Video Award category Best International Artist for "Temperature"

Nickelodeon Kids' Choice Awards
2007

Got nomination for Blimb Award category Favorite Male Singer

NRJ Music Awards
2012

Got nomination for NRJ Music Award category International Male Artist of the Year

2007

Got nomination for NRJ Music Award category Best International Male Artist of the Year

Soul Train Music Awards
2012

Won Soul Train Music Award category Best Caribbean Performance for "Tomahawk Technique"

2009

Won Best Reggae Artist Award

2007

Got nomination for Soul Train Music Award category Best R&B/Soul or Rap Dance Cut for "Give It Up to Me"

Source Awards
2003

Won Source Award category Dancehall Reggae Album of the Year for "Dutty Rock"

World Music Awards
2006

Got nomination for World Music Award category World's Best Rap/Hip-Hop Artist

Shaggy Awards

American Music Awards
2002

Got nomination for American Music Award category Favorite Male Pop/Rock Artist

2002

Got nomination for American Music Award category Favorite Rap/Hip-Hop Artist

2002

Got nomination for American Music Award category Internet Artist of the Year

Billboard Music Awards
2001

Won Billboard Music Award category Male Artist of the Year

2001

Won Billboard Music Award category Male Albums Artist of the Year

Brit Awards
2002

Won Brit Award category Best International Male

Grammy Awards
2015

Got nomination for Grammy Award category Best Reggae Album for "Out of Many, One Music"

2012

Got nomination for Grammy Award category Best Reggae Album for "Summer in Kingston"

2009

Got nomination for Grammy Award category Best Reggae Album for "Intoxication"

2006

Got nomination for Grammy Award category Best Reggae Album for "Clothesdrop"

2002

Got nomination for Grammy Award category Best Pop Collaboration with Vocals for "It Wasn't Me"
shared with Ricardo "RikRok" Ducent
1996

Won Grammy Award category Best Reggae Album for "Boombastic"

Juno Awards
2002

Won Juno Award category Best Selling Album for "Hotshot"

MOBO Awards
2007

Got nomination for MOBO Award category Best Reggae

2006

Got nomination for MOBO Award category Best Reggae

2001

Won MOBO Award category Best Reggae Act

MTV Europe Music Awards
2001

Got nomination for MTV Europe Music Award category Best Male Act

2001

Got nomination for MTV Europe Music Award category Best Pop Act

Soul Train Awards
2014

Got nomination for Soul Train Award category Best International Performance for "You Girl"
shared with Ne-Yo
Teen Choice Awards
2001

Won Teen Choice Award category Choice R&B/Hip Hop Artist

2001

Won Teen Choice Award category Choice Love Song for "Angel"

World Music Awards
2002

Won World Music Award category World's Best-Selling Pop Male Artist

2002

Won World Music Award category World's Best-Selling R&B Male Artist

2002

Won World Music Award category World's Best-Selling Reggea Artist

2002

Won World Music Award category World's Best-Selling American Artist
 
Hayo manyimbo uliyo orodhesha ni kwa upenzi tu, mtu mwingine anaweza asione uzuri wake, au akapenda nyimbo za Sean lkn zzsiwehhzoulizoorodhesha. Na kuhusu nomination na tunzo, hayo ni mafanikio ya kimziki. Ww mwenyewe Kuna wanamzk unao/uliowahi kuwakubali lkn hawakuwah pata mafanikio. Mzk unamambo Mengi na hata wao wanamzk wanaheshimiana sema cc fans ndo shida. Nakumbuka Mboni alimuuliza Christian Bella,ni mwanamzk gan unamkubali, akajibu Bel9 na akasikitika kwann hana mafanikio. Kwanin unadhani Hakumtaja Kiba au Mondi?Mzk unavitu vngi unahitaji uwe ndani ndo utaelewa.Kila mtu anamitazamo yake.
Nimekupa mfano mdogo ili ujue mziki unaishi mkuu. Sijajua unabisha nini mpaka sasa.

Shaggy ni mzuri ila career yake ya mziki bado haijakwenda kama ya sean... Sean Dunia inamtambua zaidi.. angalia nominations, angalia tuzo, collabo.. na kwa taarifa zako hawa jamaa mziki wao unaendana mmoja alistaahili kufunikwa na Shaggy ndicho kilichomtokea.

Sean ni vile viungo adimu vya mziki ukiviweka popote kwenye genre yoyote anaenda na track inakua Hit song.

Angalia mifano.
1. Ovaload
2. Lay you down easy
3. Rackabye
4.come on to me
5. Kuna track moja ilivuma yupo na keyshia.
6.baby boy na beyonce.

Sean ni moja ya wasanii wenye collabo nyingi duniani na collabo haupewi tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom