Veyron
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 572
- 378
Nimekutana na kaubishi jioni hii .
vijana watatu wakibishania Mkali wa Jamaica katika miondoko Ya Dance Kali Kali inayochanganya na reggae .
Mi sikuwaingilia kwasababu pale Jamaica Bangi nyingi sana kama Arusha tu.
Ila kiukweli hawa jamaa wana mziki unaofanana nao niwapinzani ninavyosikia kama MONDI Vs Kiba.
Nakiukweli Kwa wazee wa kuruka viwanjani zikipigwa nyimbo za hawa jamaa huwa lazima watu wanataftana Akina Dada viuno unavikuta chini..
Ila supporter wa Sean Paul alikuwa mwenyewe lakini alionesha kuujua muziki.
Huku napo naamini wapo mashabiki wao .
Mseme nani Mkali?