Nani Mkali kati ya Diamond na Chris Brown?

Wadau wajukwaa hili,
Recently tumeona jinsi kijana wetu Diamond anavyofanya vizuri kwenye music, hapa nyumbani na hata kimataifa.

Hebu tuseme ukweli bila Chuki...

Diamond Platinum na Chris Brown nani mkali au yuko vizuri kwenye maswala yote yakuimba na kucheza?
Dah...weka huu uzi kwenye jukwaa la vichekesho.
 
Diamond anavyopambana na kuhustle kwa sasa nampa Diamond...

Embu imagine angekuwa States.

Diamond Juu.

Huyo Brown anafaida tu kajikuta yuko nchi ambayo ilishabarikiwa.
 
Back
Top Bottom