Wadau wajukwaa hili,
Recently tumeona jinsi kijana wetu Diamond anavyofanya vizuri kwenye music, hapa nyumbani na hata kimataifa.
Hebu tuseme ukweli bila Chuki...
Diamond Platinum na Chris Brown nani mkali au yuko vizuri kwenye maswala yote yakuimba na kucheza?
Achana naye hajui mapato ya Eminem mwaka mmoja ndo mapato ya wabunge wote na pension miaka mitanoUnajua ili Eminem aimbe wimbo mmoja kwenye show anatoza bei gani?
Unafananisha Pizza na Makande,inafaa upimwe mkojo wewe si bure..
Anaimba nini?diamond haimbi rnb
hapana, hapana.Yani imefikia Diamond anafananishwana Chris Brown kweli? Hebu kanawe uso bhana nahisi una usingizi bado
Wadau wajukwaa hili,
Recently tumeona jinsi kijana wetu Diamond anavyofanya vizuri kwenye music, hapa nyumbani na hata kimataifa.
Hebu tuseme ukweli bila Chuki...
Diamond Platinum na Chris Brown nani mkali au yuko vizuri kwenye maswala yote yakuimba na kucheza?
Diamond angekua marekani basi huenda angekua kama best nassoDiamond angekuwa marekani CB asingemuingia hata nusu. Tatuzo yuko bongo
Maua sama