Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,553
KumfananisHa Criss Brown Na Diamond Ni Sawa Na Kufananisha Kitambi na MimbaWadau wajukwaa hili,
Recently tumeona jinsi kijana wetu Diamond anavyofanya vizuri kwenye music, hapa nyumbani na hata kimataifa.
Hebu tuseme ukweli bila Chuki...
Diamond Platinum na Chris Brown nani mkali au yuko vizuri kwenye maswala yote yakuimba na kucheza?